Igp alipewa taarifa za umafia kwa kakobe tangia january 7,2011.hakuna hatua

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
tarehe 07/01/2011/ taasisi ya haki za binadam ya aford , ilipeleka malalamiko kwa igp said mwema ikimutaka achukue hatua dhidi ya kikao cha umafia kilichofanyika kwa mch. Rwakatare lakini mpaka leo hajafanya jitihada za kumuhoji rwakatare.

Pale polisi , aliye pewa fail hilo ni polisi mwenye namba 0713 485135.

Tetesi ni kwamba baada ya kubaini kuwa mpango huo uliandaliwa na ccm, kumuhujumu kakobe kwa sababu za kisiasa , wakaamua kunyamaza kimya.

Polisi ni tawi la ccm , hawawezi kutenda haki, kazi yao kuhujumu maaskofu wanaopinga ccm
 
poleni kwakua umejua leo kuwa polisi ni tawi la ccm, na tena ni jumuia yao
 
Kwa nini serikali wamekazana kufungua kesi dhidi ya makanisa , lakini kesi za epe, kagoda, hazijafunguliwa hadi sasa.
Mwaka 2010 ,jk alisema kuna kesi kubwa mbili zipo mbioni lakini mpaka sasa hakuna. Akina lowasa, rostam na chenge wanaambiwa wajiondoe wenyewe, lakini maaskofu wakamatwa na polisi kwa uonevu.

Iweje viongozi wa dini wanaolinda amani wakamatwe wakati wezi kama lowasa wanaambiwa wajivue gamba
 
Bila security sector reform, ccm itendelea kuwa na jumuia kama tisss,jwtz,pilice, uwt,wazazi n.k
 
Kwa nini serikali wamekazana kufungua kesi dhidi ya makanisa , lakini kesi za epe, kagoda, hazijafunguliwa hadi sasa.Mwaka 2010 ,jk alisema kuna kesi kubwa mbili zipo mbioni lakini mpaka sasa hakuna. Akina lowasa, rostam na chenge wanaambiwa wajiondoe wenyewe, lakini maaskofu wakamatwa na polisi kwa uonevu.Iweje viongozi wa dini wanaolinda amani wakamatwe wakati wezi kama lowasa wanaambiwa wajivue gamba
Hizo kesi ulizozitaja hapo juu zikifunguliwa nchi itayumba. Source: Waziri mkuu.
 
Kwani ktk hayo makanisa kuna biashara gani zaidi ya ibada? au ndio hiyo biashara ya madawa ya kulevya!!!!!!mbona wanapigana sana vita????
 
kwa uzoefu wangu wanavyotaka kumchafua kakobe ndo anakua maarufu zaidi..
 
tarehe 07/01/2011/ taasisi ya haki za binadam ya aford , ilipeleka malalamiko kwa igp said mwema ikimutaka achukue hatua dhidi ya kikao cha umafia kilichofanyika kwa mch. Rwakatare lakini mpaka leo hajafanya jitihada za kumuhoji rwakatare.

Pale polisi , aliye pewa fail hilo ni polisi mwenye namba 0713 485135.

Tetesi ni kwamba baada ya kubaini kuwa mpango huo uliandaliwa na ccm, kumuhujumu kakobe kwa sababu za kisiasa , wakaamua kunyamaza kimya.

Polisi ni tawi la ccm , hawawezi kutenda haki, kazi yao kuhujumu maaskofu wanaopinga ccm

wabongo mnaacha kufikiri na kutafiti kujua ukweli basi mnakimbilia kuituhumu CCM kwenye kila kitu.
anyway mie sio mwana siasa ila sioni logik ya Kakobe VS CCM hapo hawana common interests zozote
hayo makanisa wanagombana siku zote otherwise hii ni issue ya udaku
 
kwa uzoefu wangu wanavyotaka kumchafua kakobe ndo anakua maarufu zaidi..
kweli kaka. Hata wafanyeje, kweli itabaki palepale. Najua hawampendi kwa kuwa anahubiri kweli. Kila mara anakemea uovu wa serikali. Na ukizingatia hana muda wa kuwalamba miguu hao mafisadi, kama wengine wanavyo jipendekeza kwa serikali ya kifisadi. Na kujifanya wanawaombea wakati hawataki maombi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom