Takukuru iringa yamng'ang'ania mwenyekiti wa ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Takukuru iringa yamng'ang'ania mwenyekiti wa ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nguvumali, Jun 30, 2011.

 1. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Nimepigiwa simu na Katibu wa ccm katika wilaya moja ya mkoa wa Iringa , ikisema kuwa Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Iringa amekamatwa kwa Rushwa akiwa Iringa Mjini, anatuhumiwa kwa Tendo la Utoaji Rushwa.
  Naendelea Kufuatilia , nitawajuza zaidi.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Aaaaa,hao wanawaonea tu
  TAKUKURU wanawajua watafuna MLUNGULA NDUGUUUU
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  habari zinasema jamaa yuko Ndani Bado
   
 4. Francis Godwin

  Francis Godwin Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=2][/h] [h=3][​IMG] Mkurugenzi wa TAKUKURU,Bw.Edward Hosea
  [/h]
  TAASISI ya kupambana na kuzuia Rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imemfikisha mahakamani mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mtaa wa Kihodombi katika Manispaa ya Iringa Aldo Kaduma (50)kwa tuhuma za kujifanya afisa wa taasisi hiyo na kuomba rushwa ya shilingi 400,000 kutoka kwa paroko wa Ihemi Iringa vijijini asifukuzwe nchini ndani ya masaa 24 kwa kosa la kumtetea mfanyakazi wake aliyemweka kinyumba mwanafunzi.
  Mwanasheria wa Takukuru, Nitume Mizizi alisema leo mahakamani hapo kuwa Kaduma alikamatwa Septemba 28, 2009 baada ya taasisi hiyo kupokea taarifa kutoka kwa Padri Pio Callegari (72) kuhusu mtuhumiwa huyo kuomba rushwa hiyo ili kusaidia kuendelea kuwepo nchini kabla ya taasisi hiyo kuwekea mtego wa rushwa uliozaa matunda.INGIA HAPA KUSOMA ZAIDIhttp://francisgodwin.blogspot.com

   
 5. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tunataka kusikia hivi: Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa nchini imemfikisha mahakamani ndg rostam aziz,edward lowassa na andrew chenge kwa uhujumu uchumi!!! Sio kukimbizana na vijidagaa then mnaripoti..kichefu chefu!!
   
 6. mchillo

  mchillo JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  "Serikali ya wala rushwa kamwe hajishughulishi na rushwa kubwa kubwa bali inahangaika na wala rushwa wadogowadogo, machinga n.k." alisema Mzee mmoja wa busara. Ni sawa wamemkamata mwenyekiti wa mtaa, bado tunataka wawakamate (kikwelikweli na si kisanii kama ile ya kina Yona na Mramba) kina Rostam Aziz, Edward Lowassa, Andrew Chenge, Abdallah Kigoda, Nimrod Mkono, Ridhwan Kikwete, kina Vithlani, Mramba, Yona na woote waliotuingiza mkenge kwenye mikataba ya IPTL, Aggrecco, Richmond, Dowans, TICTS na mafisadi kibao waliosheheni mpaka ikulu. Siyo hii ya kujitosa baharini kumsaka dagaa mchele mmoja.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  watapigiwa simu na mwenyekiti wao waachiwe si MAGAMBA hao ndugu moja na mafisadi na rushwa? haina majotrooo takukuru watakuwa washavuta mpunga wao kesho wanamsafishaaa
   
 8. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kah!!!! sasa imekuwaje jamani kumkamata mwenyekiti wetu ?
  Magamba Oyeeeeee!!!!!! Najua tutashinda tu .
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Thank you so much for this information. Lakini wanawaonea tu hawa dagaaa, wanawaacha mapapa na manyangumi KAGODA,DEEP GREEN na wengine wingi. Hawa Takakuru wako kisiasa zaidi.
   
Loading...