Ally Keissy Mohamed Nkasi Kaskazini CCM Mbunge asiyetaka Non sense | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ally Keissy Mohamed Nkasi Kaskazini CCM Mbunge asiyetaka Non sense

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mo-TOWN, Jun 30, 2011.

 1. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Kuna wabunge wachace sana CCM ambao hawataki non sense bungeni kama huyu mbunge wa Nkasi Kaskazini.

  Ameongea juu kutowajibika kwa serilali. Mengine ni pamoja na tabia ya wabunge kuisifia serikali, majigambo ya wabunge, wabunge kupitisha hoja muhimu kwa ushabiki etc
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  sIJAMSIKIA MKUU SASA HAPA NDO TUNASEMA TAIFA KWANZA KAMA HAJUI NEPI!!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  anaonekana ni mzalendo huyo si mpenda posho
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kwenye Magamba kuna wenye akili kumbe!
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nape kamsikia huyu?
   
 6. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna wabunge wa CCM wengi hawaridhishwi na mwenendo wa serikali ya JK lakini wanaponzwa na siasa za makundi. Wako utumwani jamani! Hawako huru kueleza kile wanachokiamini.
   
Loading...