Mwenye hoja/ushauri/kero yoyote aseme ni ipeleke kwa James Lembeli (MB) bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye hoja/ushauri/kero yoyote aseme ni ipeleke kwa James Lembeli (MB) bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pat Gucci, Jun 30, 2011.

 1. P

  Pat Gucci Senior Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WanaJF nimeamua kujitangaza babu yangu (ukoo wa baba) ni mbunge wa Kahama (James Lembeli) kupitia Chama Cha Magamba (CCM)
  Kwa hiyo mwenye kero yoyote aiandike alafu nitampigia simu nimweleze then ai-represent bungeni
  NB: Mimi sio mfuasi wa hicho chama (CCM).
  NAWASILISHA.
   
 2. womanizer

  womanizer Senior Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo Lembeli wako mwenyewe anahitaji ushauri kwanza
   
 3. P

  Pat Gucci Senior Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si ndio uuseme huo ushauri alaf nimwambie!
   
 4. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tangu hiyo tarehe uliyo jiunga kwanini usiseme?..........unajipendekeza wewe
   
 5. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atugawie posho zake wapiga kura!
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mwambie apitie jf ataelewa wananchi wanahitaji nini.
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mwambie babu yako aende jimboni kwake ndio kuna shida za wananchi akiziwakilishe hizo pili atafute mshauri mzuri wewe ni kilaza.
   
 8. P

  Pat Gucci Senior Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu mm sio mshauri wake...ww inavoonekana umeridhika na maisha ya mtanzania.Shame on you!
   
 9. B

  Bandorajr Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambie ajivue gamba!!
   
 10. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Hilo jina la Babu yako kwetu ni tusi tena la nguo za ndani kati ya miguu!
   
 11. m

  msafi Senior Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mwambie anipe posho zake za miezi miwili tu, nimalizie ada chuo,
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mimi au wewe unayetaka kuja kuosha hapa eti babu yangu mbunge, mjinga nini wewe?
   
 13. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mbunge wa CCM ana akili mgando cku zote, wamelaaniwa na zMungu
  .... tena majambazi tupu...
   
 14. P

  Pat Gucci Senior Member

  #14
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...kuoshea upuuzi??? issue sio sifa....jielewe arif
   
 15. P

  Pat Gucci Senior Member

  #15
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nayo hiyo ni kati ya Laana za JK Nyerere
   
Loading...