UDOM Waitwa kurejea Chuoni

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
740
Watafanyiwa Usajili upya utakuwa J'mosi na J'pili ijayo.
Isipokuwa watu 15 ambao majina yao yametajwa na wale wanaodaiwa ada.
Source: TBC1
 
Huyo mkuu wa chuo aliyesema walitaka kuchoma moto huo na akataja vifaa walivyokuwa navyo kwa ajili ya kuunguza chuo halafu hana watuhumiwa huyu ni msom wa wapi jamani. Mhalifu ana vithibiti unamwachia halafu unaenda kulalamika kwenye vyombo vya habari? Maajabu ya musa eh tutaona na kusikia mengi mwaka huu
 
Watafanyiwa Usajili upya utakuwa J'mosi na J'pili ijayo.
Isipokuwa watu 15 ambao majina yao yametajwa na wale wanaodaiwa ada.
Source: TBC1
Usumbufu wote huo na gharama walizo wapa wanafunzi analipa nani? CCM ni kichwa cha wenda wazimu kwa nini wanatutesa hivi. Mimi ninashauri kama inawezekana kutokana na matamshi ya mwanzo wa mkuu wa chuo wanafunzi wampeleke mahakamani ili haya mambo ya wanafunzi yasiwe yanaingizwa kwenye siasa wanapodai kutendewa haki katika hii jamii. Walichokuwa wanadai ni haki yao.
 
Back
Top Bottom