Wabunge Wanafanya Kazi Tusiyowatuma

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,721
515
With a few exception... Wabunge wa CCM mnaotembelea hapa JF hivi haya ndio tuliowatuma..Kumshukuru Mungu kwa kuwa bungeni?Kutoa ahadi za kuwatumikia wananchi?Kupongeza bajeti?Kuwa wasemaji wa serikali?Kusifia hoja za mawaziri?Kupongeza viongozi wa serikali?Kutoa vijembe vya kisiasa?Majigambo na tambo?Kusema jinsi gani mmehangaika kupata nafasi ya ubunge?Kutetea hoja zisizo na mashiko mfano posho za kuhudhuria vikao?Kupitisha hoja kwa ushabiki?Kusifia ilani za uchaguzi?Kushukuru wanamajimbo kwa kuiba kura sorry I meant kuwachagua?Kupongeza uteuzi na kuthibitishwa na bunge kwa WM?Kuponda hoja za vyama pinzani?......Wabunge hayo ndiyo tuliyowatuma?
 
Back
Top Bottom