MUNGU IBARIKI TANZANIA au MUNGU ENDELEA KUIBARIKI TANZANIA?

kibavu

Senior Member
Oct 15, 2008
136
82
Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania ni maneno yaliyopo kwenye beti za wimbo wa Taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mtazamo wangu nadhani tunapaswa tuombe Mola/Mungu aendelee kuibariki Afrika na Tanzania. Nasema hivyo kwasababu kwa jinsi hali ilivyo ni kwamba tushabarikiwa sana kwa kuwa na rasilimali kibao, hali ya hewa safi, ardhi safi na yenye rutuba. Siku hivyo vitu vitakapokwisha ndipo tuombe kubarikiwa maana kwa sasa tushabarikiwa.
Hivyo basi kwa sasa maneno kwenye wimbo wetu yangekua “MUNGU ENDELEA KUIBARIKI AFRIKA, MUNGU ENDELEA KUIBARIKI TANZANIA.”
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom