Tanesco wanaajenda ya siri na ccm, hasa wkt huu wa bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco wanaajenda ya siri na ccm, hasa wkt huu wa bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul Kijoka, Jun 30, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  LEO asubuhi wakati Mnyika anaanza kujenga hoja zenye kuonesha maana ya bunge, zikielekezwa kwa waziri mkuu baada ya kusaidia kama kinda na spika, walikata umeme ghafla. Tena ukarudishwa jioni saa 1 na sasa hivi kabla ya taarifa ya habari wakakata tena!

  Jamani, hizi si mbinu chafu za ccm ili tusijue kinachoendelea?
   
Loading...