Nape atembelea Mwananchi Communicaation na Global Publishers Ltd. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape atembelea Mwananchi Communicaation na Global Publishers Ltd.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ACHEBE, Jun 30, 2011.

 1. A

  ACHEBE JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nape Moses Nnauye katibu wa itikadi na unezi wa CCM jana alitembelea ofisi za Mwananchi communication na leo ametembelea Global Publishers. Ziara hizo zimevunja minon'gono ya hapa na pale iliyokuwa inavumishwa na baadhi ya mitandoa kuwa hata tembelea Mwananchi na Tanzania daima. Nape anafanya ziaara vyombo vyote vya habari,. Wiki ijayo atakuwa katika ofisi za Tanzania Daima na business times.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Achebe na habari za Nnape lol! Kama mapacha 3
   
 3. A

  ACHEBE JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Fellow kwani tatizo lipo wapi unakumbuka mlisema hapa kuwa hataenda mwananchi sasa mimi nimewajuza tu. Kwani kutoa hii taarifa ni kosa mapaka unasema hayo uliyoyaandika?
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  NAPE= ACHEBE=NIPE TANO..zote ni ID zake
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280

  kijana mtu mzima na ndevu mbea kamaxxxxxxxxx behave bana!!!
   
 6. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,437
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  pamoja na NAPE MASASI
   
 7. N

  Nipe tano Senior Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimetajwa KUWA NI Nape, NADHANI KILA ANAYETOA MAWAZO YAKE KWA KU BALANCE ANABATIZWA KUWA NAPE NA KAMA HIVI NDIVYO BASI NAPE kwashika pabaya, ukitaka usibatizwe Nape mtukane sana sana HUMU ndani kwa majina yote ya kejeli..... JF HOME OF GREAT THINKERS
   
 8. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Who is Nape by the way?
   
 9. Chromium

  Chromium JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 598
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hapa huyu limbukeni anajitangaza mwenyewe kwa ID tofauti tofauti! Kazi ya uvuvuzela wa CCM imemshinda, kaamua awe anajitangaza mwenyewe. Mpeni nafasi.
   
 10. Chromium

  Chromium JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 598
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Umshike nani kubaya wewe? Ms**8%$3spssssss!
   
 11. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Nape na posho za ziara. Ama kweli cha kuvunda hakina ubani au hakuna tumbaku (bangi) inayoweza kumsifia mwenyewe.
   
Loading...