- Wananchi JF, ninaomba kuwashukuru kwa sala na salam zenu za kheri kwa mzee wetu Malecela, hatimaye juzi ametua hapa US, akifuatana na mama, ni mzima wa afya sana na tunamshukuru sana Mungu kwa...
Nilikuwa nafuatilia kipindi maalum toka bungeni, mtangazaji anawaweka wabunge waliochangia bajeti ya w/mkuu waliokuwa wanaunga mkono kauli ya lowasa. Ameanza kwa kuisifia hotuba ya uchangiajia...
Natoa wito wa kumpunguzia Raisi wa JMT madaraka makubwa aliyonayo pamoja na kupunguziwa uwezo wa kuendelea kutaja majina kwa ajili ya kuteuwa viongozi na wakurugenzi mbali mbali. Vivile kuondoa...
President Kibaki and Vice- President Kalonzo Musyoka of Kenya have bowed to public pressure and paid up their tax arrears, further isolating Members of Parliament resisting the constitutional...
Rais Jakaya Kikwete, mkwea pipa maarufu, sasa amepanga kufanya state visit Afrika ya Kusini mwezi ujao (19 to 20 July 2011). Hii itakuwa ni mara ya 3 kwa Kikwete kutembelea Afrika Kusini mwaka...
Yaani baada ya kuandika kote wiki hii nzima bado kuna watu wanaamua kuwapotosha Watanzania kwa makusudi. Ninaamini imeandikwa na mtu wa Ikulu au Mambo ya Nje.
JK, Waziri Uingereza wajadili...
Tatizo kubwa la Watz ni ukosefu wa elimu, umasikini wa mawazo kwa wenye elimu. Maana ni vigumu sana kumtofautisha msomi na asiyesoma. Msomi ananena na kutenda sawa sawa na asiyepata nafasi hiyo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kuishtaki Kampuni ya Kalamazoo ambayo ilichapisha makaratasi ya kupigia kura chini ya kiwango, jambo ambalo limesabisha karatasi hizo...
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao...
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa Kamanda Lema mbunge wa Chadema jana alipopolewa kwa mawe katika mji mdogo wa Sirari. Lema alikuwa katika harakati zake za kuchochea maandamano kwa wafiwa ndipo...
kutokana na vipindi viwil kushikiliwa na ma rais kutoka bara imesababisha kukutetereka kwa muungano wetu sasa kipindi kijacho iwe zamu ya znz ili kuimarisha muungano na iendane na kutamkwa na...
Kutokana na mambo yanayoendelelea hapa nchini nilitegemea sana CDM kama chama cha upinzani kikuu kingetoa tamko na msimamo wa kichama juu ya issue ya RADA, UMEME,SYMBION, Nk, Lakini tena wasisi wa...
Walipasua daraja la kwanza kidato cha sita
Wazawadiwa kitita cha fedha, kompyuta
Watambulishwa bungeni, Bunge larindima
Wanafunzi 20 waliofanya vizuri katika mtihani wa Taifa...
Spika anataka kufuta kabisa utaratibu wa maswali ya papo hapo kwa Waziri Mkuu bungeni, kigezo tu eti maswali mengi yanamdhalilisha PM.
Huu utaratibu alianza nao EL na yy ni mwanadamu maswali...
Madiwani wa CDM katika halmashauri ya wilaya ya Bukombe mkoani Shinyanga
imemshutumu vikali Mwenyekiti wa halimashauri hiyo,bw Mathias Nyororo kutozingatia kanuni za kuongoza baraza la madiwani...
Wana JF na Invisible natumaini wote ni wazima, naona kama ingekuwa vyema ikaanzishwa forum ya mawazo ya wanaJF kuhusiana na kikao cha bunge kinachoendelea, hii ni kusaidia hata wabunge wenyewe...
Saturday, July 2, 2011, 7:21
Second Lead, The african
By Hilal K. Sued
This continent will never abandon its being showcase as a butt of all the jokes. It has become an ostentatious – or...
Inasemekena kuna zaidi ya waarabu wenye asili ya kiafrica milion kumi katika ulimwengu wa kiarabu lakini inasikitisha sana pale wanapobaguliwa katika nnyanja za uongozi na kazi nyeti. Wakigombea...
Mwandishi Wetu
29 Jun 2011
Toleo na 192
Asema hadanganyiki na kesi za dagaa
Wazungu watoa ripoti kwa donors inayotaja ufisadi
Wawataja Lowassa na Rostam
Rostam aitwa mtengeneza...
Fidel Castro ni Mkomunisti aliyetaka kuifuta dini ya kikikristo duniani. Mara baada ya mapinduzi ya Cuba kufanikiwa, kitu cha kwanza kwake kilikuwa ni kuwapiga repatriation maascofu na mapadri...