Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Any serious nation invests heavily on grooming its future presidents. Its top institutions of higher learning produces 'presidential material'. All its intelligence agencies ensures that all...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
HATIMAYE Mbunge wa Jimbo la Busega wilayani Magu, mkoani Mwanza, Dk. Titus Kamani (CCM), amejisalimisha kwa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, kujibu tuhuma zinazomkabili za kula njama kutaka kumuua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
ST. PAUL, Minn. (AP) — Minnesota's state government is closed for business. Minn. government forced to shut down ST. PAUL, Minn. (AP) — Minnesota's state government is closed for business. It shut...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Written by Hassan10 // 01/07/2011 // Habari // No comments Written by Hassan10 // 01/07/2011 // Habari // No comments Hivi sasa takribani unaingia mwezi mizigo yote kutoka Zanzibar yakiwemo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kumekuwa na ujio mkubwa Viongozi Maarufu wengi kutoka Marekani kuja tanzania na hata Matajiri maarufu wa dunia kutoka marekani kama Mr & Mrs Bill Gate, halafu ghafla shirika la Umeme la marekani...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Halima Mdee amemjia juu mwenyekiti wa bunge anayeendesha kikao cha jioni kuwa asitumie kiti vibaya. Kisa ni mwongozo wake kutaka Zarina Madabida athibitishe kauli zake kuhusu posho. Zogo likaibuka
0 Reactions
126 Replies
11K Views
CHAMA CHA DEMOKARASIA NA MAENDELEO (CHADEMA WILAYA YA GEITA) OFISI YA WILAYA -CHADEMA KALANGALALA- GEITA Email: geita@chadema.or.tz Website: www.chadema.or.tzDate: 1st July, 2011 Chama cha...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Stahili za Waheshimiwa Wabunge ni zifuatazo: i) Mshahara wa Mbunge · Gross Salary - Sh. 2,305,000/= · Kodi - Sh. 588,000/= Net Salary - Sh. 1,717,000/= ii) Posho ya Ubunge; (MP – Constituency...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bajameni, tujiongezee uelewa wa posho kwa kuangalia ITV sasa hivi. Hawa wataalam wako ndani ya nyumba. Tumemkosa Mh. sana Mkinga
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kipo tayari kuwapoteza madiwani wake watatu waliohusika kumaliza kinyemela mgogoro wa kumpata meya wa Manispaa ya Jiji la Arusha, kwa maridhiano ya...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu tumesikia budget ya tanzania na tunadelea kusikia bajeti na mipango ya matumiziya mendele ya wizara na idarambal mbali. Napenda kuleta challenge . Assume wewe ni waziri wa wizara yeyote ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika taarifa ya habari ya TBC Saa 2 usiku imeonyeshwa wanafunzi wa shule za kata waliofaulu vizuri. Je wanafunzi wa kata wana muonekano kama machangu doa! Kazi ipo tanzania na serikari ya ccm
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Kwa hali hii kwa nini tusiseme wanachama + wapenzi wa CDM a.k.a MAGWANDA ni wasaliti na wasio watendea haki viongozi wao ?. Mwaka jana wakati wa uchaguzi mkuu walihudhuria kwa wingi kwenye...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Wadau, this is very very serious. Nakumbuka wakati fulani mwaka jana kuna mwandishi wa gazeti moja aliwahi ku-uncover vitendo vichafu vya aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Huwa najiuliza ivi kiwalani kuna madiwani na je mbunge wao nae huwa anawataembelea? Nasikia hajawai ata kukanyaga maeneo kama kiwalani kisiwani barabara mbovu toka miaka ya 1980 nilivyokuwa nasoma...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
mbunge wa kahama james lembeli amewashangaawabunge wanao jadili na kunyoosheana vidole juu ya maandamano na migomo inayoendelea hapanchini na kusema tanzania sio kisiwa kwa kuwa maandamano na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, kiukweli inauma kuona tunaigawa tz yetu kichama. mimi ni mpinzani na nawakulabali sana chadema kwa sababu zangu binafsi na si tu kishabiki. kwa mfano, ilani na mikakati ya chadema inalenga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) dayosisi ya Iringa Dkt O.Mdegella ameibuka na kumvaa katibu wa CCM mkoa wa Arusha Bi.Mary Chatanda kwa kauli yake ya kuwataka...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wajumbe nilipenda kwenye katiba mpya tulipigie mchapuo swala la tanzania kuwa na mabunge mawaili la kila moja kuwa na wabunge chini ya 80 na ili kuongeza usimamizi wa serikali na kupunguza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maandamano kupinga mgawo wa umeme yanukia Send to a friend Thursday, 30 June 2011 20:42 0digg Kizitto Noya, Dodoma MAANDAMANO makubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom