Tukubali tusikubali wenzetu Kenya wanachanja mbuga, sisi na CCM yetu mmh ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukubali tusikubali wenzetu Kenya wanachanja mbuga, sisi na CCM yetu mmh !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mag3, Jul 2, 2011.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Hapa kwetu wanaochanja mbuga ni wale walafi tu wanaojipangia posho kwa nguvu, kasi na ari zaidi lakini bila kodi wakiwaacha kwenye mataa wananchi walio wengi. Utamtozaje Kikwete kodi huku hata kipato chake hakijulikani !
   
 2. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Wakati jumuiya ya Afrika Mashariki inavunjika mwaka 1977 thamani ya shilingi yetu na ile ya Kenya zilikuwa zinalingana na Dola moja ya Marekani ilikuwa sawa na shilingi saba za Kenya au Tanzania.

  Wakati Mwalimu Nyerere anang'atuka mwaka 1985 thamani ya hela yetu ilikuwa imepungua kidogo na kufikia shilingi nane kwa dola.

  Pamoja na Kenya kujulikana kwa vurugu na Tanzania ikijivunia amani na utulivu, hivi sasa wakati dola ya Marekani ni sawa na Kshs 88.00 tu za Kenya, hapa Tanzania imefikia Tshs 1,600.00 kwa dola !

  Na sasa wenzetu wanajenga flyovers kwa hela yao, sisi tuna CCM, shame on US !
   
 3. S

  Shamu JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Thamani ya hela SI kigezo cha kuwa na uchumi mzuri wa nchi. China wanaibeg hela yao isiwe na thamani ili waweze kuoffer cheap labor, na capital investments, nk.
   
 4. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,211
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  KUSHUKA kwa thamani ya fedha ni kiashiria cha kuporomoka kwa uchumi. Point uliyopewa hapo juu ni kwamba thamani ya shilingi yetu IMESHUKA ukilinganisha na ile ya Kenya toka 1:1 hadi 20:1

  Thou shalt not SPIN
   
 5. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  If the currency of any country continue to depreciate at an alarming rate like TZSH, that means there's a spiral inflation which is not good for any economy. The value of the Chinese Yuan is manipulated in order to let it not appreciate but becoming just stable.
   
 6. S

  Shamu JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Short time inflation siyo mbaya kwa nchi kwa sababu TZ inakuwa kiuchumi haraka sana kulinganisha na ilivyokuwa mwanzo. Hizo inflation unazoona TZ ni kwa sababu hatuna Price Index system. Sasa hivi TZ, kwa sababu tunatoka kwenye Ujamaa kuna demand kubwa ya vitu, lands, nk. Kinachofanyika sasa hivi ni watu wanauza bidhaa zao bila ya kujua thamani halisi ya hivyo vitu kisheria. Kwa mfano, bei za viwanja zipo juu sana, nyumba, vyakula vipo juu sana Dar, lakini ukienda vijijini ni rahisi sana. Sasa ukitaka kufuata Statistic data za inflation inabidi uangalie nchi nzima, lakini hatuna system kama hizo. Matokeo yake, watu wanaangalia kila bidhaa kutokana na bei za Dar; huo ni mfano wa misleading informations.
   
 7. S

  Shamu JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukingalia statistic data za GDP ya TZ utaona kwamba tuna positive growth, kwa hiyo uchumi wa nchi unakuwa.
   
 8. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You've got to be kidding me that Tanzania's inflation has been short term!
  Tanzania has been under inflation during much of the recent past and is getting even worse. The cost of living, food prices, gasoline, energy and other basic needs continue to significantly raise on a daily basis while the wages have remained flat or with negligible increase, and that's why life has been very unkind to majority of common citizen. This is not misleading
  To make the matter even worse, some services and products are being rendered/sold using the USD.
   
 9. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I'll leave this BoT's claim to others may be they will be able to come up with more insights
   
 10. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,211
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  Uchumi wa Tanzania unakua, lakini uchumi wa Watanzania unakua? Kampuni za madini Tanzania zinauza dhahabu kama 1000 ounces kwa mwaka. Hizo zinaongeza shilingi 1.4 trilion kwenye uchumi wa Tanzania, lakini haziongezi kitu kwenye uchumi wa Watanzania.

  As they say, statistics are like a bikini; what they reveal is suggestive, what they leave out is crucial.
   
 11. S

  Shamu JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Soma vizuri nilikuwa nakuambia hii inflations ipo Dar tu na si vijijini.
   
 12. S

  Shamu JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Another debate, hiyo ni economic inequalities. Hiyo inequality ipo TZ, Afrika, USA, na Dunia nzima.
   
 13. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Impact of inflation is not only felt in Dar but also the rest of the country. The cost of 1 litre of Gasoline is even higher in upcountry
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,465
  Trophy Points: 280
  Juzi nilisoma article moja nadhani hapa nimeitafuta lakini sijafanikiwa. Katika article hilo ilionyesha mapato yanayotokana na dhahabu yetu ni 5 trillioni shilings lakini nchi imeambulia 48 billioni tu. Sasa kama huu si wizi wa mchana kweupe sijui ni kitu gani. Bado naitafuta hiyo article nikiipata nitaiweka jamvini.
   
 15. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  The difference is inflation
   
 16. S

  Shamu JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unaona kwamba ni Global Inflation na siyo TZ pekee. Hizi bei za mafuta kutoka gulf zinachangia hizi inflation ktk miji mikubwa ambayo inatumia magari, machine, nk. Kuna demand kubwa ya mafuta wakati supply bado ni ndogo. Huwezi kublame nchi ktk tatizo ambalo lipo ktk kila nchi ambazo hazina mafuta.
   
 17. S

  Shamu JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata USA kuna inflation sasa hivi.
   
 18. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  but it's far less than what we face
   
 19. S

  Shamu JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa la TZ ni mfumo tuliokuwa nao mwanzo wa Ujamaa. Sasa ilipofika wakati wa kuja kwenye Free Market system nchi ilikuwa haijajiandaa vizuri. Matokeo yake, sasa hivi kila mtu anataka kuishi Dar, wakati huo huo Dar haipo tayari kuweza kuwahudumia watu wote. Sasa hivi unaona inflation Dar ni kubwa kwa sababu demand ipo kubwa kwa kila kitu. Ukitaka kuishi vizuri TZ, nenda kaishi vijijini, tafuta shamba lako, mifugo yako, utaona maisha ni mazuri sana.
   
 20. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  The bodaboda fares, diesel for unga mills and kerosene for lamps will go up in the rural areas
   
Loading...