Elections 2010 2015 ni zamu ya znz.

in and out

Member
Jun 30, 2011
69
6
kutokana na vipindi viwil kushikiliwa na ma rais kutoka bara imesababisha kukutetereka kwa muungano wetu sasa kipindi kijacho iwe zamu ya znz ili kuimarisha muungano na iendane na kutamkwa na katiba tunayotegemea kuundwa kabla 2014 kama alivyosema w/mkuu iwe zamu ya wa znz na wabara watoe m/rais tuunde katiba itakayotenda haki kwa pande zote mbili za muungano wetu, kwa hiyo wale wabara wanaoutaka urais wasubiri kadogo hadi 2025 ndiwe iwe zamu, tuchukue mfano wa visiwa vya comoro, mpo hapo??????............
 
Nyinyi Mlimsema vibaya Salim Ahmed Salim 2005; Mkamyima kura kuwa ni Mwarabu; Mkampa Mwislamu Mweusi wa Bara

Mmejichimbia Wenyewe tatizo hilo; Sasa kama ni Zamu ni bora Angalau Tuwafikirie Wapemba Tena - Kila Mara Zanzibar? (UNAONA UTAMU HUO?)

Thoughts lead on to purposes; purposes go forth in action; actions form habits; habits decide character; and character fixes our destiny.
 
kutokana na vipindi viwil kushikiliwa na ma rais kutoka bara imesababisha kukutetereka kwa muungano wetu sasa kipindi kijacho iwe zamu ya znz ili kuimarisha muungano na iendane na kutamkwa na katiba tunayotegemea kuundwa kabla 2014 kama alivyosema w/mkuu iwe zamu ya wa znz na wabara watoe m/rais tuunde katiba itakayotenda haki kwa pande zote mbili za muungano wetu, kwa hiyo wale wabara wanaoutaka urais wasubiri kadogo hadi 2025 ndiwe iwe zamu, tuchukue mfano wa visiwa vya comoro, mpo hapo??????............

Tena malizia kabisa sio zanzibar tu ni zamu ya mzanziabr wa kipemba . Au Unaonaje? teh teh teh teh
 
Mzanzibar mwenye ndoto ya kuwa Rais hapo 2015 bora sasa aanze kujiandaa kugombea nchini kwao - Zanzibar
 
Zamu ya Pemba nyie wa Unguja wanafiki sana mtatueletea uislamu Tanzania wakati ni kinyume na katiba. Kwa kuongoza hamuwezi kabisa. Muangalie Shamsi Vuai Nahodha anavyo hangaika hamna ufanisi kabisa.
 
Zamu???
Mwafikiri Bara ni baiskeli ya Pandani?
Mbona nyie hamtoi zamu kwa Bara kutawala Zanzibar!!!!
 
Back
Top Bottom