HALI YA MZEE MALECELA: Ninawashukuru Sana JF

Status
Not open for further replies.
Apr 27, 2006
26,588
10,374
- Wananchi JF, ninaomba kuwashukuru kwa sala na salam zenu za kheri kwa mzee wetu Malecela, hatimaye juzi ametua hapa US, akifuatana na mama, ni mzima wa afya sana na tunamshukuru sana Mungu kwa miujiza yake!

- Ninawashukuru JF wote mliotufariji na hata wale wengine pia, ndio Demokrasia wote nimewasikia sana, lakini ninawashukuru sana kwamba sometimes tunaweza kuweka siasa na tofauti zetu pembeni, tukawa bina-adam na kurudi tena kwenye tofauti zetu za kawaida tukijali Taifa kwanza!

Love you all people! Thaanks JF, ndio maana hatupo kidogo, lakini tutarudi soon 100% tena!

Willie @ NYC, USA
 
Tunashukuru mkuu na Mungu ampe nguvu mzee wetu!
Mkuu ukirudi usisahau kumfundisha NAPE siasa safi kama zako mkuu!
asiwe anakurupuka anakiaribia chama, haya ni maoni yangu tuu!
 
Hakika wazee ni hzina kubwa na ni kisima cha Busara.

Kwa tuliowahi kufanya nae kazi tunalisema hilo bayana kuwa hana majungu na ni mzee wa moja kwa moja katika maamuzi yake.

Mola amuhafu
 
Hongera sana kwa kumleta mzee nyc usa Baada ya kuugua,lakini huu ndio muda muafaka wa kumuuliza kwanini hawakujenga hospital nzuri nyumbani kipindi wako kwenye power?
Yeye anaweza kuja kwako mzee wa USA akiugua lakini je kwa wale wasiojiweza vp?
 
- Wananchi JF, ninaomba kuwashukuru kwa sala na salam zenu za kheri kwa mzee wetu Malecela, hatimaye juzi ametua hapa US, akifuatana na mama, ni mzima wa afya sana na tunamshukuru sana Mungu kwa miujiza yake!

- Ninawashukuru JF wote mliotufariji na hata wale wengine pia, ndio Demokrasia wote nimewasikia sana, lakini ninawashukuru sana kwamba sometimes tunaweza kuweka siasa na tofauti zetu pembeni, tukawa bina-adam na kurudi tena kwenye tofauti zetu za kawaida tukijali Taifa kwanza!

Love you all people! Thaanks JF, ndio maana hatupo kidogo, lakini tutarudi soon 100% tena!

Willie @ NYC, USA
Pole sana kwa kuuguza...
 
Tunashukuru Mkuu, Kama Mzazi una kila sababu ya kushukuru, Tunamtakia Afya Njema Baba William.
 
Twamshukuru Mungu Mkuu, ila nifikishie ujumbe kwa mzee kwamba yeye aweze kuthubutu kukemea maovu ndani ya ccm, yeye sasa ni mzee mwenye busara na hekima, ajaribu kutuhurumia watanzania kwa kuwaambia ukweli ccm.
 
Hongera sana kwa kumleta mzee nyc usa Baada ya kuugua,lakini huu ndio muda muafaka wa kumuuliza kwanini hawakujenga hospital nzuri nyumbani kipindi wako kwenye power?
Yeye anaweza kuja kwako mzee wa USA akiugua lakini je kwa wale wasiojiweza vp?
alipanga kujenga akiwa raisi bahati mbaya waka mchakachua...lol
 
- Wananchi JF, ninaomba kuwashukuru kwa sala na salam zenu za kheri kwa mzee wetu Malecela, hatimaye juzi ametua hapa US, akifuatana na mama, ni mzima wa afya sana na tunamshukuru sana Mungu kwa miujiza yake!

- Ninawashukuru JF wote mliotufariji na hata wale wengine pia, ndio Demokrasia wote nimewasikia sana, lakini ninawashukuru sana kwamba sometimes tunaweza kuweka siasa na tofauti zetu pembeni, tukawa bina-adam na kurudi tena kwenye tofauti zetu za kawaida tukijali Taifa kwanza!

Love you all people! Thaanks JF, ndio maana hatupo kidogo, lakini tutarudi soon 100% tena!

Willie @ NYC, USA

Pole sana na Mungu akutie nguvu.
 
- Wananchi JF, ninaomba kuwashukuru kwa sala na salam zenu za kheri kwa mzee wetu Malecela, hatimaye juzi ametua hapa US, akifuatana na mama, ni mzima wa afya sana na tunamshukuru sana Mungu kwa miujiza yake!

Willie @ NYC, USA

Willie @ NYC, USA samahani naomba kujua mzee ametua kutokea wapi??

Nataka kuwapongeza madaktari waliomhudumia mzee wetu (anajiita Tingatinga), kama ni Tanzania basi nijivune kuwa tuna madaktari wazalendo mahiri.
Na ikiwa ni nchi za wengine basi inipe kujua kwamba kumbe hospitali zetu bado viongozi wetu hawaziamini.

Otherwise just spoil the old man ili arudi bongo shavu 'ng'hiha' dodo.
 
hivi nikuulize ulienda hata kumuona mzee wakati amelazwa??

ndugu yako nape huku ameruka kimanga kuwa hajawahi kutoa wala kusema juu ya zile siku 90.....
msalimie mzee na mama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom