Ianzishwe forum ya Mawazo ya Greater thinker kuhusu mkutano wa bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ianzishwe forum ya Mawazo ya Greater thinker kuhusu mkutano wa bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mawazoyangu, Jul 2, 2011.

 1. mawazoyangu

  mawazoyangu JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Wana JF na Invisible natumaini wote ni wazima, naona kama ingekuwa vyema ikaanzishwa forum ya mawazo ya wanaJF kuhusiana na kikao cha bunge kinachoendelea, hii ni kusaidia hata wabunge wenyewe maana najua wengine wanakosa cha kusema au uwezo wao wa kufikiri ni wa chini sana hivyo basi kwa forum hii naamini waheshimiwa wabunge wakipitia watapata point za kuanza nazo. Forum hii iwe ni kwa wakati wa vipindi vya bunge tu maana naamini wanaJF wana michango mizuri sana kupita mawazo ya hao wabunge pia itasaidia kuweza kujenga nchi yetu kwa michango endelevu. Hili nimelifikiria baada ya kuona kuwa wabunge wengi wanapitia hapa JFkusoma wapiga kkura wanasemaje kutokana na michango yao wanayotoa bungeni, hivyo wazo langu hilo naomba mlipitie muone kama linafaa. Forum hii sio sawa na jukwaa la siasa, iwe inahusu tu mijadala inayoendelea bungeni kwa wakati huo tuNaleta kwenu kwa kujadali
   
Loading...