Jamani Mbona hatuwasikii African Arabs katika nchi za kiarabu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Mbona hatuwasikii African Arabs katika nchi za kiarabu!

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Tango73, Jul 2, 2011.

 1. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Inasemekena kuna zaidi ya waarabu wenye asili ya kiafrica milion kumi katika ulimwengu wa kiarabu lakini inasikitisha sana pale wanapobaguliwa katika nnyanja za uongozi na kazi nyeti. Wakigombea ubunge hawapati kura za kutosha kuwa wabunge! Katika viti maalum bungeni, hawateuliwi kuvishika wala kufikiriwa kuwa mawaziri!Wacheche waliohojiwa katika TV za BBC walilalamika sana kwa jinsi wanavyobaguliwa na kufanywa kama vile raia daraja la nne. Jamani haw wamisri na wa libya walipokuwa wanapiga ndogo ndogo kutaka kuunganisha Africa wakati hali ya waarabu weusi nchini mwao inasikitisha , je walikuwa wanatutakia mema sisi waafrica weusi kweli?Nenda online halafu angalia population of african black - arabs, utashangaa na roho yako!
   
Loading...