Chadema nijuayo mimi si hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema nijuayo mimi si hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurunzi, Jul 2, 2011.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Kutokana na mambo yanayoendelelea hapa nchini nilitegemea sana CDM kama chama cha upinzani kikuu kingetoa tamko na msimamo wa kichama juu ya issue ya RADA, UMEME,SYMBION, Nk, Lakini tena wasisi wa watu wengi CDM Haiko ki chama zaidi inakujikuta wanashindwa kuendesha chama wapo bize bunge ambapo impct yake inategemea watu wenye muda wa kuangalia bunge ambao na ni wachache bila kujua kuwa wao pia ni viongozi wa chama toafauti na CCM, wamejikuta wananogewa na ubunge kizaidi kusahau kuwa Mukama ni Kichwa na na amepewa baraka zote za kichama na kiserikili (siyo ramsi aweongea na vyombo vya usalama wa taifa akawapa rasimu ya tathimini yake na mapendekezo 2012) je Dr Slaa anamikakati gani ya kujijenga chama hasa ngazi ya chini, tanzania ina vijiji 12,000 na zaidi, kuna mpango gani kuwa na matawi angalau 20 kila kijiji chenye wanachama 1 00. Kupanga ni kuchagua!
   
 2. n

  nzom Senior Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hapana siasa na utendaji ni vitu sawa ila vyaachana if u can get free milk y keep a cow
   
Loading...