Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Nova Kambota, Binafsi nimeshtushwa sana na kauli za baadhi ya wana CCM kuwa chama chao kimeshajivua gamba , wanatumia mabadiliko ya safu ya uongozi ndani ya chama hiko yaliyofanyika hivi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Msingi wa Maendeleo ni Haki. "Ninawasalimu wote . Hivi karibuni tarehe 21 Juni 2011 siku ya jumatano kuna taarifa nyingi ziliandikwa katika vyombo vya habari...
3 Reactions
281 Replies
23K Views
sheria ya 1984 na 15 ib 6 (2)kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhim kwa maisha na shughuli za wananchi na pia juu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Saed Kubenea RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kukaa kimya huku viongozi wake wakianza "kutoana roho" kwa urais wa 2015, MwanaHALISI limeelezwa. Benard Membe, waziri wa mambo ya nje na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
LAZIMA TUISAIDIE CCM SASA. Kwa muda mrefu napata shida kujua wapi kama taifa tunaelekea wapi?Maswali ni mengi zaidi kuliko majibu.Kwanza wenzangu tukubaliane kuwa hii ni nchi yetu sote bila...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Nimeshangazwa na siasa zinazoendelea kichinichini kuhusu umri wa Chuo Kikuu Cha D'Salaam. Kuna pililapilika za kusherehekea miaka 50 ya Chuo hicho ifikapo October mwaka huu. Maana yake ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mimi mwanajf nawapongeza madiwani wa cdm kufikia muafaka na cha ccm kule arusha huu ndio ukomavu wa kisiasa, namshanga slaa kuunda kamati wakati taarifa za vikao vya muafaka alikuwa nazo, je...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mkuu wetu yuko kwenye pipa akielekea equatoria guine. Hii sasa inatisha make ikulu ni kama kuna miba vile.
0 Reactions
93 Replies
8K Views
wengi tunapenda kuangalia chanel nzuli za michezo talif nk tatizo vipato inasemekana kunanjia ya kufunguwa hex key aina zote kwa galama ndogo mf conax nk mwenye maujanja tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Stella Manyanya atema cheche Bungeni akimtuhumu Dr Slaa kwa kuwafundisha wananchi wasifanye kazi wakati yeye amewahamasisha wananchi wa kijiji chake (hakukitaja) wajitolee kufanya kazi za...
0 Reactions
262 Replies
22K Views
Wakuu, Katika kitu ambacho bado sielewi ni kuwa hivi kweli serikali yetu inao utashi wa kumaliza tatizo SUGU la umeme? Wakati tunakumbwa na power rationing 2006, kama nakumbuka vizuri serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juz niliposikia JK anakwea pipa kwa mara nyingine nikakumbuka kipindi cha uchaguzi alipokua Urambo Mashariki na Magharibi akiwanadi wagombea wake Sitta na Kapuya alisema kwa mbwembwe kwamba...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hapa namaanisha. Namheshimu sana Prof. Ana ila mkinipa mawazo na weakness za prof, nmna ya kuingia na jinsi ya kuchukua ubunge baada ya prof. au kipindi kijacho ili niwatumikie wananchi. Binafsi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
huyu spika amezidi kumbeba waziri mkuu pinda sana! Imefikia hatua anazuia maswali yanayoelekezwa kwa pinda. wiki ya pili sasa hakuna kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa sababu zisizoeleweka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimewahi kundika kuwa katika semina elekezi moja ya jambo la msingi vingozi wetu( Mawaziri, makatibu wakuu, Wakurgenzi wa Idara, RC, DC, RPC, CEO) na hata wakuu mwashiika makubwa wanataiwa kupigwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa sasa ukisema nani katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi, watanzania wengi wanaweza wakakupa jibu, ila ukiuliza hivi nani alikuwa na hicho cheo kabla ya Nape Mnauye nadhani ni wana-CCM (sio...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika ripoti yao SFO walisema ukiachia pesa alizowekewa kwenye account zao CHENGE NA IDRISA RASHID kuna pesa zingine zilitumwa USWISS kwenye account za watu ambao hawakuweza kuwatambua kulingana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kuna kila dalili kwamba mkakati mzito umepangwa kukidhoofisha chama cha demokrasia na maendeleo (chedema) kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Baadhi ya mambo ambayo yanatokea hivi sasa ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndiyo fedha wanazolipwa zitatumika katika miradi ya maendeleo 69 57% Ndiyo italeta mabadiliko katika matumizi sahihi ya fedha za Serikali 37 30.6% Hapana inalenga kuwapa wabunge wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KESI YA BIHONDO ISICHAKACHULIWE Natumia fursa hii kwa mara nyingine kutoa Pole kwa familia ya marehemu Bahati Stephano aliyekuwa katibu wa Kata ya Isamilo na Kada wa CCM huko Mwanza. Katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom