Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,540
- 7,371
Spika anataka kufuta kabisa utaratibu wa maswali ya papo hapo kwa Waziri Mkuu bungeni, kigezo tu eti maswali mengi yanamdhalilisha PM.
Huu utaratibu alianza nao EL na yy ni mwanadamu maswali atakayoyaweza atajibu atayohitaji data hatajibu hapo, Pinda
akaikuta hiyo system nae akaikubali kwa kusema haina shinda. Sasa huyu Muh Makinda anataka kuifuta kabisa.
Swali: Kwani PM si yupo pale kwa ajili ya wananchi, na kwani wote wenye maswali ya papo hapo wana lengo la kumdhalilisha spika??au PM Pinda uwezo wake ni mdogo sana wa kutungua maswali ya papo hapo??kazoea kudesa??
Hii imekaaje wazee??