Uhuni wa Firel Castro dhidi ya kanisa katoliki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhuni wa Firel Castro dhidi ya kanisa katoliki!

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Tango73, Jul 2, 2011.

 1. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Fidel Castro ni Mkomunisti aliyetaka kuifuta dini ya kikikristo duniani. Mara baada ya mapinduzi ya Cuba kufanikiwa, kitu cha kwanza kwake kilikuwa ni kuwapiga repatriation maascofu na mapadri wotekwenda nchi za nje ingawa walikuwa raia halali wa Cuba. Wale waliokataa aliwafunga maisha na wengine kufia magerezani. Halafu yeye na mwenziwake Che Guevara, wakataifisha seminari zote na vyuo vikuu vya kusomea upadre.Wakaweka jeshi maalum kuhakikisha hakuna mkristu au jumuia ya wakristo hawasali majumbani wala kusali Rozari. Makanisa yakageuzwa ukumbi wa madisco na mabaa! Halafu yeye na Guevera wakafuta Jumapili, pasaka, X-Mass na sikuu zote za kikristo! Ili kuhakikisha mungu anadhalauriwa nchini CUba, walikuwa wanawatuma makada nchini kote Cuba kuhakikisha propaganda za kumchukia mungu na kuamini mungu hayupo zinafanyika katika shule za msingi kwa watoto wa darasa la kwanza mpaka la sita. Walikuwa wanawaweka na njaa watoto wa shule za msingi masasa nane halafu wanawambia salini kwa mungu mpate chakula. Wanafunzi wakisali wakiwa na njaa kwa mungu ili wapate chakula halafu wakienda mesini hawaoni chakula na hurudi darasanani na njaa! Halafu wanawambia tena wanafunzi wa shule ya msingi kuwa salini kwa Castro na che Guevara muombe chakula. Basi wakisali tuu halafu huwapeleka messini na wanafunzi hukuta chakula kingi sana. Hapo wanafunzi walianza kumuona Che na castro kama vile miungu. Hivyo generation ya kuanzia miaka 1960 mpaka leo huko Cuba neno mungu wao wanaliona kama vile la kipuuzi sana! Wacuba walikuwa hawana jinsi bali kutorosha watoto wao wengi nchini marekani wakiishi na Hosts familia kwa sababu moja tuu na yo ni kutoiua imani yao ya kikristo kwa manufaa ya ukoministi wa castro! Watoto wasiopungua milion moja walitoroshwa nchini cuba . Wazazi waliona hakuna njia kuimarisha dini bali kukimbiza watoto nchi za nje na wao kubaki Cuba wakisikitikia Unyama wa kastro dhidi ya kanisa katoliki wakati huo. Sasa watu wanaotaka Cuba iondolewe vikwazo namarekani, je wanaliona hilo la kuwanyima watu uhuru wa kuabudu. Hao wacuba waliotoloshwa na wazazi wao kuishi marekani wanataka kurudi nchini Cuba katika taifa huru lisilo muona castro kama mungu mtu na ukomusti utokomee, castro hataki kusikia neno, je kweli castro anastahili kuondolewa vikwazona marekani? Hii ndio sababu shetani kama Che-Guevara, lilipo kamtwa liliuwawa kama vile mbwa na kaburi lake halijulikani mpaka leo kwa sbabu ya kutaka kufuta dini ya kikristo duniani!! Ukifika hapa Africa, Msumbiji na Angola walitaka kuleta ukomunisti wa Cuba nchini mwao. Castro alimwaga Majeshi nchini humo na waliisha anza kutaka kusaidia kufuta jumapili, pasaka na X mass! Savimbi na Alfonso Drakama walikaa kidedea kutorushus majeshi ya Cuba kuleta Unyama wao wa kuuwa didni ya kikristo nchini mwao. Huo ndio upande wa pili wa shilingi ya castro! Hawa wakomunisti wangefanikiwa kuushinda ubepari, mungu angefanya yale ya Sodoma na Gomora kwa dunia hii ya leo, hii ni kweli na wala haina ubishi!!!!
   
 2. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Umeyatoa wapi haya?
   
Loading...