Hiki kipindi maalum toka bungen channel ten, kimelipiwa na lowasa nn? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki kipindi maalum toka bungen channel ten, kimelipiwa na lowasa nn?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CPA, Jul 1, 2011.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Nilikuwa nafuatilia kipindi maalum toka bungeni, mtangazaji anawaweka wabunge waliochangia bajeti ya w/mkuu waliokuwa wanaunga mkono kauli ya lowasa. Ameanza kwa kuisifia hotuba ya uchangiajia bungeni aliyotoa lowasa. Mtu wa kwanza kumwekwa ni lowasa, wakafuatia wabunge wengine na kila mbunge anayemweka lazima mtangazaji aseme ameunga mkono kauli ya mh. Lowasa na mtu wa mwisho wa kipindi tena akamweka tena lowasa akichangia mada bajeti ya ofisi wa w/mkuu.Mi nimeshindwa kuelewa hiki kipindi kimelipiwa na lowasa au channel ten waliipenda sana hile statement ya lowasa bungeni.
   
 2. L

  LENIN'S Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Marxis believes that media is, also, a means of maintaining the status quo.Those who have access/can control media are in a good position 2 articulate for/ defend their interest!usishangae.
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jizoeze kusikia na kuyavumilia usiyoyapenda Mkuu.
   
 4. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani Channel 10 ya nani? Kawaida tu...ni kama ITV wanavyomuweka bosi wao masaa mawili anauza sura tu.
   
 5. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu nikumbushe Ezekiel Wenje na Zito kabwe nao waliunga mko hoja ya EL au? Hivi kipindi kimeanza baada ya EL Kuchangia bajeti au kilikuwepo kabla? Kisha acha propaganda ktk kazi za watu mkuu.
   
 6. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu kama haujui Chanel ten ipo chini ya Rostam Aziz kupitia Habari coopration ambayo mkrugenzi wake ni Bashe,mpaka hapo Lowasa hawezi kulipia ila anapiga simu tu kwa Bashe mambo yanajipa!.
   
 7. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Nakuunga mkono mkuu!! hata mm nimekistukia hiki kipindi kina mkono wa EL
   
 8. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mlioshtuka poleni sana kwa sababu hamkujua kwamba Channel 10 kama vyombo vingine vilivyo na muelekeo kama huo ni majembe ya Lowassa na mafisadi wengine na wanajisikia kwamba morally wana obligation ya kumrudishia nuru na mng'aro wake Lowassa. Lakini hii ni wasted effort maana tayari watanzania walishapitisha hukumu yao siku nyingi.
   
Loading...