Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NOT ENOUGH, Jun 13, 2011.

 1. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.
   
 2. O

  Omr JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe ulitegemea awafanyie nini wakati anatokea chama kitoto? hapo mlipoteza kura tu.
   
 3. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Chama siyo kinachofanya kazi, kazi inafanywa na Mbunge husika kutokana na uelewa wa mambo na busara zake. Usikae kichama kwenye hii hoja kaa ki perfomance.
   
 4. Yousuph .M.

  Yousuph .M. Senior Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni angalizo zuri, pana, lenye sura ya uwajibikaji kwa walee wateule wetu. Check list hawakosi kuwa nazo, je kasi ya utendaji wao jimboni ukoje?
  Nakuunga mkono NE, leo umeweka kitu adimu hapa jamvini tofauti na nilivyozoea kusoma threads zako.
   
 5. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  siyo lazima akujibu yeye tuwekee hiyo checklist hapa jamvini pengine hata sisi tunaweza kukujibu kwa ufasaha zaidi kuliko yeye.
   
 6. O

  Omr JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  basi we baki na hizo akili zako za kizamani, serikali ni ccm sasa unataka walete maendeleo kwa mbunge wa upinzani? hii ni siasa bibie sio sindimba. Nyie mtarudi CCM 2015 lasivyo mtakiona cha moto.
   
 7. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sio kila king'aacho ni dhahabu,kama auna jambo la maana lakuchangia unaweza pita tu,hakuna atakaye kuhoji.
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kujenga machinga complex mbili jijini Arusha
   
 9. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nashukuru kama unaweza jibu kwa niaba yake. hebu basi tuwekee achievements ili nasi yufanye evaluation ya time against perfomance. Asante sana mwanaharakati
   
 10. O

  Omr JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuhalalisha bangi
   
 11. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Not Enough we vipi check list yako kaanayo sisi hatuna haja nayo kipaumbele chetu ni maandamano mpaka kieleweke chali wangu.Tumeshatimiza ahadi kibao unakumbuka maandamano ya Arusha walikufa watu watatu hayo si maendeleo ?.Nyamongo hamkumsikia Lema ?,UDOM alikuwepo kaamashisha maandamano ya katiba mpya ?,Unakumbuka maakamani kesi ya Mbowe alishiriki kumbeba unataka nini wewe acha roho mbaya chaliii wangu.Mjengoni alimtoa jasho Pinda mpaka spika akamsaidia,Umesahau mbunge wetu alisema mlango ufungwe watangwane makonde ?.Umesahau katoa CD kali au wewe hupendi muziki hakuna mbunge aliewahi kutoa burdani kwa wapiga kura wake na Tanzania kwa ujumla.Acha roho mbaya Lema ni mbunge wa maisha Arusha.
   
 12. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ndugu hakuna utani hapa, kama huna comment hamia jukwaa la jokes.
   
 13. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red angalia isije kuwa viceversa:
  Angalizo sio kila thridi unalazimishwa kuchangia,unaweza pita tu kama auna kitu cha maana sawa OMAR?
  maana unaandika upupu tu hakuna cha maaana.
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  JK akumbushwe ni miaka sita imekatika
   
 15. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  mi kuna moja nimeliona amelifanya ni la muhimu ila cjui ka liko kwenye check list; kaanzisha mfuko wa kuwalipia ada za sekondari wanafunzi wanaotoka ktk familia za kipato cha chini so far hadi sasa ni wanafunzi zaidi ya mia nne wanalipiwa na mfuko huu wa mbunge ktk shule mbalimbali za kata hapa Arusha. Programme zingine tutakuwa tunahabarishana as we goes on.
   
 16. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamani acheni jokes tujadili achievement hapa, na kama hakuna basi tuseme ili Mh Lema aamke kwani miaka mitano si mingi jamani
   
 17. F

  FUSO JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  Napendekeza tuanzie ngazi za juu, ile check list ya mgombea wetu wa urasi kwanza, je ni yapi ameshateleleza na yapi bado, tukimaliza then tuhamie kwa waheshimiwa wabunge mmoja baada ya mwingine.

   
 18. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Pukudu thanks very much hili hata mimi nimeliona ila nataka yale ambayo yana impact kwa jamii nzima. Nina uhakika watu wenye shida ya ada ni zaidi ya mia nne hapa Arusha. So tuhesabu vile vitu vyenye impact kwa jamii nzima na siyo society yenye access na yeye.
   
 19. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nduka na Omar kama amna kitu cha kuchangia kwenye hii mada nendeni jukwaaa la jokes mkapoteze muda na si kuharibu mada hapa.
  Hizo ni akili maandazi,kama sio viazi vitamu.
   
 20. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Weka thread tofauti nayo tutaichangia
   
Loading...