Miaka 50 ya uhuru:tuwatambue mashujaa wa taifa letu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya uhuru:tuwatambue mashujaa wa taifa letu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Azimio Jipya, Jul 16, 2011.

 1. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Taifa letu.

  Tuwaenzi na kuwapa heshima za dhati Viongozi mashujaa wa Taifa letu.

  Tuwataje kwa MAJINA na kwa MICHANGO yao mbalimbali, mashujaa wa Taifa la Tanzania Kabla ya Kuupata Uhuru,
  wakati wa harakati za uhuru, Baada tu ya uhuru hadi sasa kufikia miaka 50 ya Uhuru wa Taifa letu.

  Na pale inapowezekena tutoe Mfano wa kiongozi kama huyo wa enzi hizo kumfananisha na kiongozi wa sasa.

  Mungu Ibariki Tanzania kwa Kufikisha Miaka 50 ya Uhuru wake.
  1. Chifu Mkwawa kwa ujasiri wa kusimamia kile anachokiamini . Hakuna kiongozi yeyote anayeweza kufananishwa naye kwa sasa... labada hata siku zijazo.

  2. ....
   
 2. n

  nitasemaukweli Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Michangao yao 'Wanatulea na ndio chanzo cha generation yetu Tanzania'

  Bila wanawake hakuna Tanzania leo. Hakuna zaidi ya hawa wanawake Tanzania.
   
Loading...