Picha hii inakufundisha nini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha hii inakufundisha nini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Feedback, Jul 17, 2011.

 1. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  ...............................................[​IMG]
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  mv mapinduzi
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwa mantiki hiyo iyo meli bora izamishwe yite tuu sababu huyo msafi wa kumtupa mwenzake baharini bado simuoni
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Unafiki mtupu! Wanaigiza tu hao. Wasanii full!
   
 5. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,600
  Likes Received: 1,678
  Trophy Points: 280
  Washakula nyama ya mtu hao, Leo Rostam, kesho Lowasa, Then chenge, alafu Kikwete, alafu Sita, Nape, Mwandosya list inaendelea hadi wakija kugeuka wameisha!
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  inanifundisha hiyo meli imebaki nusu ipotee yote kwenye ramani ya dunia so walikuwemo wanajihami wasipotee nayo.bora kufia baharini kuliko kufia melini.mia
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Meli imepoteza uelekeo na inaelekea kuzama....
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahaa,da'the Best analysis!
   
 9. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,161
  Likes Received: 1,250
  Trophy Points: 280
  Yaani hapa Lowasa anamshangaa sana Rostam kujitosa mwenyewe wakati wao ndo manahodha wa hii MV MAPINDUZI na sasa Lowasa kabaki nahodha pekee ingawa simuoni Chenge au ndo anacheki mvumo wa upepo unaelekea wapi! Lakini Lowasa anaonekana kutojali hili kwa maana anavyoona na yeye akijitosa kama mwenzake hii MV Mapinduzi itakosa uelekeo na hatimaye itazama na ikizama hawa wote wanaoshangilia bila kujali hawa manahodha wao wanavyojitosa na wao utakuwa mwisho wao. Hapa nahisi sasa Lowasa ameshaona wanaosherekea hiki kifo cha nahodha mwenzake hawana maana sasa kaamua kuwa fiti kwa lolote litakalotokea. Patamu hapo we acha tu!
   
 10. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,468
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Kweli katoswa au wanatosa dummy?
   
 11. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  anaenda kuogelea kidogo na atarudi melini.
   
 12. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Halafu hajavaa hata vifaa vya kuokolea, du huyu jamaa hatari.
   
 13. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hatari mtupu hilo ndio zawadi ya mwisho ya mafisadi na chama chao ccm
   
 14. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  ...sasa nimekumbuka msemo uliomponza na kumsababishia kifo katibu mkuu wa zamani wa CCM hayati Horace Kolimba, alisema, "CCM haina dira wala mwelekeo". Kwa mantiki hiyo, ni dhahiri meli hiyo si punde itagonga mwamba na kukatika mithili ya Titanic.
   
 15. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kama manahodha wameanza kugomba na kutupana bahari je meli itafika iendako kweli?yetu macho kwani ugomvi wa manahodha abiria hawaufaham ila wanashabikia tu bila kujua manahodha wote watatupwa baharini sasa sijui nini kitatokea baada ya hapo.
   
 16. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Operesheni vua gamba
   
Loading...