Nataka kujua tuu hawa TBL hii ni coincidence au ina maana na wao wapo kwenye vita dhidi ya mafanikio ya JK? Maana kwenye kampeni yao ya miaka 50 ya uhuru wameonyesha tulipotoka, tulipopitia, tulipo sasa na tunapoelekea. Lakini mpaka TULIPO SASA wameonyesha mafanikio ya BM tuu, yaani BOT twin towers na uwanja wa Taifa mpya. Ina maana mpaka sas JK hajafanya cha kuonekana?