Tanzania tunaelekea kufanana na Somalia. What Prevent Tanzania from Perish?

May 27, 2011
86
19
Sioni kabisa kinachozuia Tanzania kufanana na Somalia. Kila indication zinaonekana kabisa kwamba tupo katika hali ya kuitwa 'failed state'Sasa hivi tuna viongozi wasiochaguliwa na wananchi na kibaya zaidi hao mafisadi ndio decision makers wa taifa. ukiangalia na kutafakari utaona wazi Tanzania imefanana tayari na hali mbaya ya corruptions za Nigeria, Kenya na nchi zingine ambazo tulikuwa tunazicheka. Sasa tungoje nini wakati wananchi wengi wanaonekana wapo tayari kupigana na kuachana na hizi chaguzi zinazopangwa na mafisadi. Kuna kila sababu ya wananchi kuwachukia ccm na network yao na zaidi uozo na policies zisizoeleweka. Mfano mzuri ni solutions za umeme na mafanikio yake mpaka sasa. Serikali ya kikwete ni broke na donors wameshajua hii serikali haina mwelekeo na kuna dalili kubwa serikali ya kikwete itavunjika any time soon. Read article ya Somalia na view below pictures.


9e48b35ac61302b986df51f3073f_grande.jpg


street-fight-Mogadishu2.jpg

The Three Worst Places to Live
By NICHOLAS D. KRISTOF

The most failed of all the failed states is…Somalia! Foreign Policy has just published its annual “failed states ranking,” and Somalia heads the list. Sudan comes in second, and Zimbabwe ranks third, followed by Chad, Iraq, Congo and Afghanistan.
I would agree on Somalia at the top of the list, but I would have put Central African Republic much higher (it ranks 12th). CAR is torn apart by civil war in the northwest, which leaves people hiding out in the bush. In the northeast, it has been invaded by Sudan-backed mercenaries. And in the east, the Lord’s Resistance Army is now killing and raping people. I would also put Congo higher, since the east is largely run by various militias and warlords. In any case, this is a useful exercise, and like to think of it as determining the worst places to live.
We tend to think of brutal dictatorships as the nastiest places on Earth, and it’s true that I would hate to live in North Korea or Burma, which would rank highest as tyrannies. But I would take either of those over eastern Congo or Somalia or large chunks of CAR. As Hobbes suggested, the one thing worse than a terrible government is no government at all.
So my picks for the three worst places to live would be: Somalia, Central African Republic and eastern Congo. Enter your picks below, by hitting the comment button.
The Three Worst Places to Live - NYTimes.com

Drought crisis leaves struggling Somalia on the brink | Global development | guardian.co.uk
 
Wewe kweli uko sawa? Yani umekosa nchi ya kufananisha na TZ? Jamani waheshimiwa wa CHADEMA tafuteni watu wenye akili hata kidogo wa kuwatupia humu JF sio mradi mnajaza number.
 
Kweli Tanzania tuna matatizo lakini uwezi kuifananisha na somalia, thread yako imeanza vizuri lakini umechanganya ulipopandika mauaji ya somalia
 
Hili palachichi hapa chini linaona kazi kubwa ya kufanya analysis na kuaona wizi wa ccm katika hii nchi yetu kwamba halitapeleka watanzania kuchukua silaha na maamuzi mikononi. Nyie ccm jiulizeni chanzo cha vita na machafuko mengi ktka nchi nyingi duniani nini? Huwezi ukanyan'ganya wananchi their rights na kuiba mali za wananchi kwa kutumia constitution ya wahuni kujihalalishia mamlaka, this will not work in this generation. Endeleeni na ujambazi wenu na umagamba wenu wa vichwa vya nyoka uone kama sisi wananchi tutakaa na kuawaangalia.

Hakuna demokrasia inawaruhusu ccm kuwa wezi wa mali za wananchi. Tunakuja na kwa taarifa yenu huyu kikwete afiki 2015, hii serikali itaangushwa na wananchi wenyewe, tutaweka viongozi wetu tutakao wachagua.

Wewe kweli uko sawa? Yani umekosa nchi ya kufananisha na TZ? Jamani waheshimiwa wa CHADEMA tafuteni watu wenye akili hata kidogo wa kuwatupia humu JF sio mradi mnajaza number.
 
Bila shaka uchambuzi wako una ukweli, angalia kwa mfano MDG Report 2010, Tanzania iko katika kundi moja na Somalia,m Afghanistani, Zimbabwe na Burundi. Kundi hilo linajulikana kama THE MELLENIUM LAGGARDS
 
Short summary of events leading to Somalia we know it today. The problem didn't just appeared and cause all these misery scenes, the failures starts similar to kikwete and mkapa nightmare bizarre economic solutions.

Somalia's societal breakdown and the famine that accompanied it were results of political and economic problems common to most sub-Saharan African countries. The U.S. and UN interventions in Somalia are unlikely to resolve the country's crisis because they do not offer solutions based on African initiatives. Indeed, dozens of UN and U.S. troops have already been killed by Somalis angry with those forces for trying to impose a settlement to Somalia's complex political disputes, and hundreds of Somalis have been killed in clashes with the occupying forces. That should not be surprising since outside attempts to resolve Africa's problems have regularly proven ineffective and even counterproductive.
The chronic crises in Somalia and sub-Saharan Africa in general have been caused by a succession of repressive regimes and their disastrous domestic policies. Flawed economic and political models have led to dismal growth in per capita income, falling rates of food production, periodic famines, systematic disregard of basic liberties, institutionalized corruption, and ongoing civil wars. (what's different from Kikwete and mkapa's ideas?)
A long-term solution to those problems can come only from Africans themselves, not from well-meaning occupying powers or grandiose nation-building schemes of the United Nations. Traditional African systems of participatory government and free markets should serve as the model for the region's societies. The transition to such systems may not be easy, but it is the only way free and prosperous societies will emerge and thrive in Africa. The United Nations and the United States must allow Africans to work out their own destiny.
The Somali Crisis: Time for an African Solution

 
Kwa sababu umejibu kama kikwete anavyojibu maswali akiwa Tanzania na nje basi shukrani dhaaaati kwa wahuni nyie. Kuwa punguani mara nyingine ni kuangalia maneno yao na matendo yao. Hii topic is for watanzania kuangalia taifa linekwenda wapi kutokana na decisons zenu ila hutaki kujibu kwa sababu unajua huna la kutetea kuanzia umeme mpaka uchumi, kilichobaki ni uhuni as solution. What do we expect from you guys?

Nadhani huyu ni punguani kidogo na haijui dunia.
 
Back
Top Bottom