Mabadiliko ni lazima, serikali ya CCM imekuwa dhaifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko ni lazima, serikali ya CCM imekuwa dhaifu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Jul 17, 2011.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Human beings by nature want happiness and do not want suffering. With that feeling everyone tries to achieve happiness and tries to get rid of suffering, and everyone has the basic right to do this.

  In this way, all here are the same, whether rich or poor, educated or uneducated, believer or non-believer, and within believers whether , Christian, Muslim, and so on. Basically, from the viewpoint of real human value we are all the same.

  TUTAENDELEA KUSUBIRI MAISHA BORA MPAKA LINI? NCHI HAINA UMEME, VIJIJINI WANAKOSA HUDUMA ZA AFYA VITU VINAENDELEA KUPANDA BEI, KIPATO CHA MTANZANIA KINAZIDI KUSHUKA, VIFO VYA WATOTO WA CHANGA VINAONGEZEKA, SERIKALI INAENDELEA KUTUPIGIA HADITHI ZA SUGURA NA FISI, WATANZANIA BADO TUMENYAMAZA, AMKA MTANZANIA UNGANA NA CHADEMA KUPINGA MFUMO MBOVU WA SERIKALI YA CCM INAYOONGOZWA NA JK.

  HAKI NA UKWELI HAVIJAWAHI KUSHINDWA UKIAMINI NIKIAMINI TUTASHINDA UDHALIMU HUU.
   
 2. R

  Red one Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tunene na vitendo tuoneshe woga wetu ndiyo kiama chetu.
   
 3. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  nakubaliana na wewe mkuu, jana nilitembelea kijiji kimoja nikakuta sehemu ambayo tulikuwa tunaenda kunywesha ng'ombe maji imegeuzwa kuwa mradi wa wafanyabiashara na eneo hilo ni la kijiji toka mwaka 1945 hata mama yangu alikuwa hajazaliwa. na aliyeuza eneo hilo ni diwani wa CCM. eneo hilo lilikuwa linatumiwa na vijiji vinne sasa mifungo inakufa watu wanakosa mahitaji yao ya kila siku. ccm imgeuza upole wa mtanzania mtaji.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hata mabadiliko yaje leo hakuna katika upinzani wa kufanya miujiza "records" zao zinaonesha. Labda Lipumba pekee, kwani tuliona wakati wa Mwinyi nchi ilivyobadilika haraka sana nae akiwa mshauri wa uchumi.
   
 5. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  mkuu ni kweli, ila ni heri tukajaribu upande wapili wa shilingi tukaona ikoje kuliko shilingi hiyo hiyo ya miaka hamsini na shida ziko pale pale kila siku afadhali ya jana
   
 6. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  kWA KWELI SIDHANI KAMA SERIKALI YA KIKWETE ITATUTOA HAPA TULIPO, KWANI IMESHINDWA KATIKA KILA IDARA.

  DAWA NI MAANDAMANO YA KUFANYA MADADILIKO KATIKA NCHI YETU
   
Loading...