Diwani Nanyaro

gm wewe mchana ndiyo ulikuwa ukitupa taarifa live bila chenga kutoka majengo ya halmashauri ya arusha sasa unataka taarifa zipi?
 
Sherehe za muafaka iliendelea kama kawaida, ilihudhuriwa na watu wasiozidi 50, wengi wao wakisadikiwa kama madereva wa boda boda waliokusanywa kutoka viunga vya mji wa Arusha kwa ujira unaosadikiwa kama buku tano kwa moja. Hata Hivyo Diwani Nanyaro pamoja na Chrispine wa kata ya Sekei hawakushiriki lile zoezi la sherehe za Muafaka wa Kichina. Hali iligeuka kuwa mbaya zaidi pale Chadema wilaya ya Arusha ilipoanza kuwatangazia wananchi kwamba ule muafaka ni feki, wasirubuniwe kwa namna yoyote ile. Sherehe ilishindikana kufanyika katika ukumbi wa Manispaa, hadi wakahamia kusikojulikana. Diwani Nanyaro tulikuwa naye pale kwa Mkuu wa wilaya, hakuhudhuria ile sherehe za kipuuzi. Msimamo wake tokea mwanzo ni kwamba haafiki kuwanywa vyeo.
 
nanyaro yupo hapa jamvini hakuna haja ya kuwa msemaji wake!
 
Nanyaro ni kamanda wa ukweli,habari za uhakika ni kuwa huyu kamanda ameshiriki sana kuharibu mbinu zote zilizopangwa leo,anaonekana kuwa na element za kijasusi
 
Wale wote wanaopinga hiyo ndoa watafute chama chao CDM ndio wameishakubali mwafaka na saizi kuna sherehe mji mzima umejaa furaha ya ajabu, kuna jamaa yangu ananipa habari
 
Anayekupa habari kama si Chitanda basi atakuwa Tambwe Hiza.
 
Wale wote wanaopinga hiyo ndoa watafute chama chao CDM ndio wameishakubali mwafaka na saizi kuna sherehe mji mzima umejaa furaha ya ajabu, kuna jamaa yangu ananipa habari
acha kudanganya we mama. Kwanza hauko Arusha wewe. Hakuna cha sherehe wala mama yako. Nasema hivyo kwasababu sina neno lingine la kukuambia mpuuzi wewe! Hivi Nape anakulipa sh ngapi?
 
dawa ya mnafiki,nimeipenda hii mkuu.
 
acha kudanganya we mama. Kwanza hauko Arusha wewe. Hakuna cha sherehe wala mama yako. Nasema hivyo kwasababu sina neno lingine la kukuambia mpuuzi wewe! Hivi Nape anakulipa sh ngapi?
Ndugu yangu mimi sio mwana CCM mimi ni mpenda amani wewe niite vyovyote utakavyopenda, hizi habari napewa na mtu kutoka Arusha, mimi kijijini kwetu, Mji wa Arusha umerindima kwa furaha watu wanapongezana wanakunywa pamoja hongereni wana Arusha
 
Wale wote wanaopinga hiyo ndoa watafute chama chao CDM ndio wameishakubali mwafaka na saizi kuna sherehe mji mzima umejaa furaha ya ajabu, kuna jamaa yangu ananipa habari

Kaka unaweza kujijengea heshima sana hata usipo andika kupelekea kuwaudhi wanaume kama sisi.Si lazima uandike unaweza ku skip kama huna la kusema na basdo utaheshimika sana .
 
Nanyaro ni kamanda wa ukweli,habari za uhakika ni kuwa huyu kamanda ameshiriki sana kuharibu mbinu zote zilizopangwa leo,anaonekana kuwa na element za kijasusi

Kamanda gani huyu uchwara, kwa taarifa za uhakika Nanyaro alishiriki katika hatua zote za muaafaka tangu kwa Mkuu wa Wilaya tarehe 15/04/2011 na ndio waliotoka na mapendekezo yaliyofikiwa na madiwani wote tarehe 20/6/2011. Muulizeni alitoa mchango gani katika kupinga wakati alikuwa na nafasi ya kutosha kuanzia kwenye kamati ilyokaa kwa Mkuu wa Wilaya, ndani ya Chama kama Mratibu wa BAVICHA Mkoa, Diwani kwenye kamati ya madiwani ndani ya vyama yaani CDM, TLP CCM. Na baadaye kwenye Full Council ambayo ndiyo walihitimisha kw kupiga kura. Ikiwezekana nitatuma copy ya kwa Mkuu wa Wilaya ya tarehe 15/4/2011 na hata katika hatua ya mwisho ya tarehe 20/6/2011 kama hamtaona jina lake na sahihi yake. Naomba kuwakilisha, asituzuge kabisa
 
Wale wote wanaopinga hiyo ndoa watafute chama chao CDM ndio wameishakubali mwafaka na saizi kuna sherehe mji mzima umejaa furaha ya ajabu, kuna jamaa yangu ananipa habari
jamaa yako huyo atakuwa ni muongo sana, we mchunguze vizuri....
 
lago de Fimon,Nanyaro alishawahi kueleza ushiriki wake kwenye sakata zima,nakumbuka alisema kuwa yeye alishiriki hatua za awali na alikuwepo kwenye kamati ya mwafaka,na kukutana kwa mkuu wa wilaya,after which hayo makubaliano yalipelekwa kwenye vyama ya cdm na ccm ambako katibu mkuu wa cdm alikataa hayo mapendekezo,na huo ukawa ndio mwisho wa ushiriki wa Kamanda Nanyaro,hiyo ilikuwa April
 
Back
Top Bottom