HOTUBA (Wizara ya nishart na madini)

nzedanze

Member
Jul 13, 2011
44
1
Jamani kama kunamtu anasoft copy ya hotuba ya nishart na madini naomba aiweke hapa jamvini....au kama anajua website ambapo naweza kuipata nayo sawa tu nitashukuru sana
 
kaka unapend sana sekta ya madini?
Ni mdau nin? Npo chimala 4 pt nadhan utakuaunajua nafanya nin.
 
haya bana najua utakua Field ....sasa wewe naomba msaada harafu unaniuliza sasa tutafika wapi
 
Back
Top Bottom