Wananchi Call for PCCB Ifanyekazi Lakini Wahuni Wanapewa Forgiveness Path | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi Call for PCCB Ifanyekazi Lakini Wahuni Wanapewa Forgiveness Path

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jul 15, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi wananchi waliomwomba kikwete awapeleke mafisadi ku-face justice au kujiuzuru? Kuna kitu kikwete ana-miss hapa na hizi tactics za danganya toto ndio zinafanikiwa only kwa wajinga. The major problem Tanzania sasa hivi sio tu mapacha ni chama kizima kimejaa waaasi wa wananchi na taifa lao, utafanyaje kama sio kufuta chama chote kama Egypt. Tunajua mpaka sasa katiba ya kihuni ndio imemweka kikwete ofisini na hiyo hiyo katiba ya kihuni ndio inatumika sasa kuficha mafaili ya kesi mbalimbali juu ya uhajisi wa rostam, lowassa, kikwete, mkapa, chenge na hawa wakina nape na january.

  Hivi PCCB wapo Tanzania? Hawana ushahidi wala docs zozote za kuwaweka rostam na wenzake ndani for good? au kikwete kashikilia mafaili ikulu na mkewe?

  Kitu kingine wananchi wana-miss ni mipango dhahiri ya kupangua uchafu uliopo sasa na kuweka uchafu wa aina nyingine mpya unaojulikana kwa kifupi 'unapenism na mukanism' Hizi njama na balaa linalotaka kuzaliwa kujenga tabaka jingine la wezi ndilo pekee linawafukuza mapacha watatu kwa kuwaita majina hadharani ya magamba. Hivi niulize, unawezaje kuondoa gamba la nyoka bila kumwua nyoka mwenyewe ccm? Jibu ni kwamba nape na mukama hawawezi kuondoa magamba ya nyoka bila kikwete wala mkapa kuondoka na kufunga ofisi zote za ccm.

  Sisi wananchi lazima tuungane na chadema kukifukia hiki chama mara na moja kwa moja chini ya udongo wa mara. Tunaona kazi iliofanyika na Mungu ameanza kubadilisha hili Taifa letu, lets be patient wait on God 'Great Things to Come'


   
 2. n

  nitasemaukweli Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkapa atafikishwa mahakamani tarehe ngapi tena? Tusije tukasahau jinsi gani mkapa, rostam, chenge, lowassa na kikwete na hawa wahuni ccm vitu vinavyowapa power.

  Katiba katiba katiba ya wahuni.

  Hakunakukubali katiba ya kikwete wala ccm kwani tunajua wanatengeneza huu uhuni tena ili wananchi wafikiri kuna mabadilko. Kama hakuna katiba ya wananchi Tanzania itawaka moto mkali
   
Loading...