Dr slaa anahitaji pongezi kwa hilli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr slaa anahitaji pongezi kwa hilli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngarauo, Jul 17, 2011.

 1. n

  ngarauo Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanajamiiii kwa hili la rostam kujivua uongozi kwenye ccm mimi naona DR slaa anahitaji pongezi kubwa kwa kuchangia mgamba wamuone RM kua ni gamba la kujibandua ccm naomba maoni pls
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nguvu yote ni Chadema na CCM hawana la kusema maana hata leo hawakubali kama alikuwa kibaka wa jutajiri wetu .Hata sasa hawataki kusema kaachia ubunge kwamba hawana barua rasmi .Kazi ya Chadema hii hakuna ndani ya CCM anamweza RA ila ameteswa na list of shame tu hakuna zaidi .Hadi leo hajapokea barua ya kutakiwa avue gwanda lao so wanawezaje kusema ni Nape au CCM ? Nanij msafi CCM wa kumnyooshea RA kidole ? Hakuna hata mmoja .Heko Chadema heko Slaa .
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yeah,,, kelele za mlango sasa zimeanza kumzuia mwenye nyumba kulala. halali kabisa,,,anapata usingizi wa mang'amung'amu acha kabisa!!!!!!!!
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii mada haina mbele wala nyuma hata kwa mtu anayeelekea kuwa great thinker hawezi anzisha mada ya kijinga kama hii
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Huu ni upupu mtupu! Ngoja nipite zangu tu
   
 6. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Mada haijaenda deep lakini ukweli uko wazi!, reform inayoendelea ndani ya ccm ni kazi nzuri ya CHADEMA!, HATA CCM WANAJUA HILO.

  Tunachoomba chadema waongeze presha na waelekeze kwa watendaji serikalini ili uwajibikaji urudi au kiongozi wao ajulikane vizuri ameshindwa kazi!

  BILA CHADEMA IMARA, TAIFA LITAANGAMIA.
   
 7. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa ndiye rais wa nchi. Ningependa sana atiwe moyo asikate tamaa!
   
 8. O

  Omr JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli wewe ndio umeshinda, inaonekana hata ukienda choo unamshukuru slaa maana unaamini bila yeye usingeweza pata haja kubwa.
   
 9. O

  Omr JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  vipi tena hapo, watu wanaweza elewa tofauti
   
 10. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  List of Shame ya Dr.Slaa ilikuwa na majina 11 akiwemo Rais Kikwete, kama kujivua gamba kumetokana na list ya Dr.Slaa then kwanini list ya Nape ina majina matatu tu?tafakari...
   
 11. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Kweli ukistajabu ya...utaona ya..
   
 12. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Haihitaji tafakari hata kidogo kwa sababu hao watatu ni kikwazo kwa CCJ kuweka mgombea wa Urais 2015 ambaye ni Sitta
   
 13. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Unaweza kufafanua au ilmradi umeandika.
   
 14. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Watu wengine na post zao dah
   
 15. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo sio Dr.Slaa tena bali CCJ?
   
 16. MWAGONA

  MWAGONA Member

  #16
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwakifupi unayo ongea yanaukweli kiasi fulani lakini ukiwa kama greater thinker haupaswi kuanzisha maada ambayo haina upeo mkubwa kama wawana JF lakini hongera
   
 17. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sasa mkuu umeuliza Swali rahisi nimekujibu bado huelewi tu! Duh
   
 18. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Chadema make things happen CCM is waiting to happen

  Big up Slaa you lead others will follow including CCM cadres.
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Jul 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nakushangaa na wewe umechangia. Unaweza kusema na ww ni Great Thinker? Mada ni nzuri, tatizo nyie mliotumwa na Magambaz, aliyewatuma hakufanya sorting.
   
 20. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kimsingi hili halina ubishi! Maovu aliyoyafanyia RA kwenye nchi yetu, hakuna hata m1 aliyekuwa tayari kumnyooshea kidole, wote walikuwa kimya hadi Dr(PhD) alipolitangazia taifa pale Kidongo chekundu! Ingawa aliwataja kumi lakini hatuwezi kupuuza m1 akichukua hatua. Ccm waliwataka wajiondoe kwenye chama kwa kutia najisi mbele ya wananchi, na aliyetufanya tukayajua hayo maovu ni Dr Slaa. Ina maana Dr Slaa angekaa kimya hata wanachokiita kujivua gamba kisingekuwepo!
  Hongera sana Dr Slaa kwa ujasiri mkubwa. Keep it up untill they all get off and sent to court.
   
Loading...