Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwandishi wa habari: Muheshimiwa raisi unajua ni kwanini nchi yako ni masikini? JK majibu: Hata mimi sijui........! Mwandishi wa habari: Muheshimiwa raisi utafanya nini kundokana na giza? JK...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, hospitali ya taifa ya Muhimbili nayo imeingia katika mgao mkubwa wa umeme tofauti na ilivyokuwa awali. Wodi zilizo athirika zaidi ni sewa haji, kibasila...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii issue ya rushwa, umeme, politics kila sehemu, kodi za kutisha, bandari ambayo ni inefficient, mfumo wa kodi uliokaa kuwakandamiza wafanyabiashara na wawekezaji, mawasiliano duni..etc hivi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
KATIKA kile kinachotafsiriwa kuwa ni kuwatega mawaziri na viongozi wa Serikali wanaotumia magari ya kifahari na yenye gharama kubwa, Waziri Mkuu,Mizengo Pinda ameanza kuachana na matumizi ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha. Source; CCM HQs
0 Reactions
283 Replies
22K Views
Opinion, The african BY FRED OKOTH THERE is an archaic saying among the many African proverbs that “a poor man will always die poor”. On the other hand, the rich will always continue...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana jf majimbo yafuatayo yako hayana wabunge na uchaguzi unatakiwa ufanyike haraka iwezekanavyo: 1. Rorya 2. Shinyanga mjini 3. Tarime 4. Igunga kama mnafahamu majimbo mengine yasiyo...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Wakuu nimepata habari kuwa Profesa Samwel Mushi wa Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki dunia. Source: chanzo cha habari idarani hapo hapo
0 Reactions
71 Replies
14K Views
Credit: Nathan Mpangala
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya mkutano wake mjini Dodoma, bila kuwapo kwa mkutano wa NEC ambao ndiyo wenye mamlaka ya kutekeleza ajenda ya kuwafukuza mafiasadi ndani ya chama. Je, hadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mara yakwanza kuona jana wabunge wakijivisha vibwebwe na kuitolea radhi serikali ya kikwete nahisi kikwete anaitaaji kusikiliza hoja za wapinzani avunje baraza na kutunga upya...kweli ccm kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna bwana mdogo ambaye anataka kugombea ukatibu mkuu wa Tucta. Yeye ni mwalimu ameshindwa kusaidia walimu wenzake akiwa kiongozi, leo anataka ukatibu mkuu wa Tucta, Shame upon him
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba mwenye taarifa za kina anijuze
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana nimesikia Dr. Jakaya Kikwete anahubiri kuwa Mtwara utakuwa mji wa viwanda kwa ajili ya gesi. Mtapata ajira na neema itawashukia. Msiwe wajinga, maana watanzania ni tu wajinga, ujinga wetu...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ngeleja, Hakuna cha kusubiri, uongozi ni ridhaa. Ili uongoze inatakiwa unaowaongoza waridhie na uongozi wako. Kwa sasa hakuna mtanzania anaefurahishwa na mwenendo wa wizara unayoiongoza...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Sunday, 24 July 2011 By Bernard James Opposition leaders Dr Willibrod Slaa and Reverend Christopher Mtikila are set to face off President Jakaya Kikwete's son, Ridhiwani, in a high-profile...
0 Reactions
100 Replies
13K Views
kulingana na taarifa za hali ya hewa muelekio unaonyesha kutakuwa na na mvua zitakazonyesha kwa wingi hii ikithibitishwa na mvua zilizoanza maeneo ya dar na moro. Haya wale wapinzani baada ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
2005 wakati unaingia madarakani watanzania wengi tulikua tunamatumaini and in the first few month tulichakarika hari ya kuleta maendeleo ikawa juu. vijana walipenda CCM, kuvaa t-shirt za kijani...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi ni kweli kampuni hii ndiyo inahusika na sakata la fedha za Jairo au watu wanahisi tu? Kama wao wenyewe wanajua kuwa wanatajwa sehemu sehemu ni vizuri kama watatoa kauli mapema (pre-empty)...
14 Reactions
81 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…