Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Najiuliza saana, Hivi tulivyokuwa tunaambiwa kuwa chama kina mafisadi tukakataa, sasa hv wanavyoachia ngazi tunajiteteaje? Tulivyoambiwa chama hakina dhamira ya kupambana na mafisadi tukakataa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
SINA ugomvi na kaulimbiu ya zamani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) – “zidumu fikra za mwenyekiti.” Katika maisha ya sasa ya CCM hii inayoporomoka, inayotapatapa, inayojivua gamba na inayoishi kwenye...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Mbunge anawajibika kwa wapiga kura wake, chama chake, nchi yake.. Je,kwa hali ya bunge sasa,kama ingekuepo sheria ya wapiga kura kumwajibisha mbunge wao hadi sasa nani angekua amewajibishwa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Zimebaki wiki chache kabla ya bunge kuahirishwa, wabunge wengi wamechangia mawazo yao kwenye bunge hili la bajeti, je uonavyo wewe ni mbunge yupi aliyesimama kikamilifu bungeni kutetea wananchi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa ujenzi Mh. Magufuli yuko anajibu hoja mbalimbali za wabunge kwa kutamka idadi ya umbali kwa km, wakandarasi wanaojenga na kiasi cha fedha zinazotumika. Anachoni-boa ni anaposema...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amefunika Hotuba zote za Mawaziri Kivuli kutoka Bunge pamoja na ile ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni! Tafsiri ya moja kwa moja jinsi Lema anavyosifiwa na...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugai kaulizwa swali rahisi la mtego: "HUOGOPI KUKUTWA NA YALIYOMKUTA SITTA?" Badala ya kujibu swali, anaanza kutaja sifa za Sitta! Nikajiuliza, nani hajui wadhifu wa Sitta? Kuwa ni spika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu,<br /> <br /> Nimeguswa na kusikitishwa sana na jinsi habari zinazohusu wabunge wa upinzani hususan wa chadema zinavyochakachuliwa wakati wa taarifa za habari kwenye vituo vya TV...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Tarehe 27 Julai 2011 vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu Meya Wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Masaburi akieleza kilichoitwa maamuzi ya Baraza la Madiwani wa Jiji kuhusu kuvunja uongozi wa...
11 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wanaJf Habari za uhakika kutoka kwenye baraza la uongozi la chadema mkoa,lililokaa kwa siku mbili mfululizo,kujadili hali halisi ya kisiasa Arusha mjini,limegundua makosa mengi ya kiuongozi...
6 Reactions
46 Replies
5K Views
Nikikumbuka hii kauli ya Mwalimu Nyerere isemayo ‘Mimi nang’atuka lakini naendelea kuamini kuwa bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba’. Wosia wa Mwalimu Agosti 1990 Diamond Jubilee My take ...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Nani anafaa kuongoza kampeni za CCM Igunga kati ya January Makamba na Mwigulu Nchemba? My take: January ni mtu makii na smart lakini ana damu ya kunguni ya kuchukiwa tu bila sababu za msingi hivyo...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Huyu babu si ndiye alibakizwa ikulu kuwa refa wa vingunge wa CCM? Yuko wapi mbona simsikii popote?? Majibu yote hapa JF yako kiaina tu. IGWE anasema "kafariki longtime kitambo,....namaanisha...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Baadhi ya wenyeviti wa CCM wa mikoa wamepania kushinikiza kutenguliwa kwa uamuzi wa CC kuhusiana na mkakati huo wa kuwataka makada wake kujivua gamba, Mwananchi limeelezwa. Mmoja wa wenyeviti hao...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
kuna uchambuzi ulufanyika jana east africa radio, ukielezea hali ya Tanzania ki-uchumi imeandikwa na mfungwa mmoja. Please mwenye copy atuwekee tuisome.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya ameyasema punde wakati alipoomba mwongozo wa mwenyekiti kwa kusema kua Wizara ya Ujenzi imekua na upendeleo kwa kujenga barabara nyingi ambako wanatoka viongozi wa serikali kwa huku barabara...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Huwa najiuliza hivi serikali yetu inafikiria nini kuhusu huu mfululizo wa maonyesho (maonesho) mbalimbali ambayo yote yanahusu taasisi na idara za serikali. Maonyesho hayo ni kama ya Sabasaba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
“Ni heri kupoteza jimbo au kata halafu tukarudi kwenye uchaguzi maana ndiyo njia pakee ya kukisafisha CCM kuliko kuendelea kung’ang’ania wachafu kwenye chama chetu.” NA “Tukirudi huko bado...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Wakati wa uchaguzi wa mwaka 2000, vurugu zilizokuwepo Z'bar na baadhi ya maeneo T'bara mpaka zikapelekea maandamano kule Z'bar yaliyopoteza maisha ya watu zilionesha chama cha CUF kitaleta...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni nini sera ya kimataifa (foreign policy) ya nchi yetu, miaka 18 baada ya kuingia kwenye siasa ya vyama vingi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom