Hotuba ya Lema imefunika Hotuba za Mbowe, Zitto, Mnyika na Mawaziri Kivuli wote wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya Lema imefunika Hotuba za Mbowe, Zitto, Mnyika na Mawaziri Kivuli wote wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee wa Posho, Jul 30, 2011.

 1. M

  Mzee wa Posho Senior Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amefunika Hotuba zote za Mawaziri Kivuli kutoka Bunge pamoja na ile ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni! Tafsiri ya moja kwa moja jinsi Lema anavyosifiwa na Chadema inaonesha Mawaziri Kivuli wengine walitoa hotuba Mbovu na kuonekana wengine ni Vilaza ila Lema katoa nzuri sana! Ugonjwa huu wa kutaka kujulikana au umaarufu binafsi bado ni tatizo kubwa kwa wanasiasa wa Tanzania hasa CDM! Haingii akilini Lema kuandaa maandamano Mjini Arusha kwa hotuba yake! Mbona Hai,Kigoma,Biharamulo,Ubungo na Kwingeneko hawakuwaandalia Wabunge wao maandamano kwa Kutoa hotuba bungeni ambazo binafsi naona zilikua na muelekeo na mwanga mkubwa kwa Taifa ukiacha hii ya Bwana Lema ambayo kimsingi ni ya kawaida tu na imejaa quotes kibao. Kwa hili Lema,CDM na wote wanaomshabikia mnafanya ujinga mkubwa wa kudharau hotuba za Mawaziri Kivuli ambao wametoa Bungeni.
   
 2. e

  erneus kyambo Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eee bwana! Umenena hotuba ya Lema ni ya ukombozi wa Taifa hili, hotuba ya Lema ndio hotuba yenye msisimko kuliko hotuba zote zilizowahi kutolewa bungeni kutika bunge hili la kumi sio kwa upinzani sio kwa serikali, Lema amefunika zote hadi sasa! Tunaomba kambi ya upinzani itupatie nakala ya hotuba ya nd. Lema
   
 3. O

  Omr JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi wabunge wa CDM wanapeana zamu kutafuta sifa ? Kila mmoja anakuja na staili yake, Zitto alikuja na ya kugoma posho akafatia mbowe, mara lissu, akaja wenje na sasa Lema.

  Tunasubiri zamu ya SUGU sasa.
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Duh Lema kiboko watu wameanza kumkubali ameanza Werema sasa wanaJF, hongera sana Lema safi Mzee wa Posho kwa kukubali ukweli waambie na wenzako wasikalie posho tu.
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hao ni Chadema bana wanambinu nyingi za kufikisha ujumbe si magamba kwa staili yao ya kusinzia ili wapigwe picha.
   
 6. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lema hajaandaa maandamano uongo wa kwanza

  Tumia busara kitu chako binafsi usikipandize kwa wengine. Nakushauri kaandae maandamano kwenye majimbo hayo. Pamoja na kwamba lengo lako ni kupotosha na kukabiliana na mitazamo inayokinzana na maslahi yako, jichunguze kama una hata chembe ya utaifa. Mimi nakuona ni kibaraka na kimelea wa kundi fulani kimaslahi.

  Ili mradi umetukana umefuta hoja yako yote NI WA KUPUUZA
   
 7. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hakuna kupeana sifa hapo ni vita juu ya ukombozi kwani wakati wa line of struggle wengi watasema mengi tuuu ila ndipo hapo mtajua yupi alikuwa kimaslahi yake binafsi na yupi alikuwa kimaslahi ya wananchi na taifa lake kwanza mfano mzuri ni Mbg.Lema yupo kwa ajili ya maslahi ya wananchi wake na yupo mstari wa mbele kuikomboa nchi toka kwa kundi dogo la kikoloni ndani ya nchi yetu. me nafungamana na mtu ambae yupo kwa ajili ya vita ya ukombozi na niko tayari mbele ya huo mstari daima mpaka kufa
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,453
  Likes Received: 19,822
  Trophy Points: 280
  nani kachagua hili baraza vivuli la mawaziri? he is talented leader
   
 9. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kweli imefunika ila i stil have doubts with my young mate Mnyika still sijaona amesimamamia wapi katika Siasa za bongo kuna doubt kubwa sana na inakuja either ajirekebishe, mchezo wa kuanza kusafiri na Rais kwa taaarifa yetu kwenu wote wabunge wa upinzani kuweni macho huwa kunajambo likitendeka wakati wa safari za Nje na CCM hupenda watu wenye Siasa za vuguvugu kwani ni rahisi kutekwa kabisa ila ukiwa na siasa Moto/baridi kuingilika kwao kwako ni vigumu. Angalizo langu hilo
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii mada imejaa unafiki tuu
   
 11. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sio kweli kwamba hotuba yake mh! lema imezifunika hotuba za waheshimiwa wengine waliowasilisha mawazo mbadala maana ukifatilia wachingiaji wote waliotoa mawazo mbadala (hotuba mbadala) kila walipokuwa wana maliza lazima mjadala uliendelea kuchambua mawazo hayo mfano mzuri ni pale mh! zitto alipomaliza kuhutubia karibu nchi zima ilizizima kuona Waziri kivuri anavozihirisha ukivuli wake, utakumbuka issue ya Serikali kushindwa kulipa Mishahara ya Watumishi na kulazimika kukopa benki ya biashara ili kulipa mishahara.

  Ni mh! Zitto aliyeambiwa anatafuta umaarufu wa kisiasa lakini baada ya kuwasilisha bajeti kivuri ya Taifa, Wizara ya Fedha huwezi amini walikesha usiku kucha wakitafuta majibu ya hoja za bajeti hii kivuli na hii ilijidhihirisha pale Mh! Mkullo alipoliri mbele ya Bunge kuwa anawashukuru watu wote chini yake kwa kukesha akiwemo CG wa TRA.Pia ukumbuke Hotuba ya MH! Lema iko ndani ya hotuba ya ZItto maana, zitto aliwasilisha Hotuba ya wote kama alivofanya Mh! mkulo aliwasilisha bajeti ya taifa na sasa kila wizara inajipambanua toka kwenye Bajeti mama kwa hyo Lema amejipambanua toka kwenye hotuba mama ya KIvuli.

  vivo hvo Mh! Mnyika hotuba yake ilikuwa nzuri sana kiasi kwamba iliamsha uelewa wa hali ya juu kwa wabunge wenyewe na kwa wananchi pamoja na hotuba ya makamba jr.

  kwa hyo Hotuba ya Lema imezidi kudhitisha tu kuwa CDM kuna watu wanafanya kazi kwelikweli kiasi kwamba CCM imegeuka kuwa chama Pinzani maana kila mara utakuta wanakimbilia kukanusha hoja za CDM ambazo wananchi wanaelewa ukweli wake.

  Kwa kiasi fulani tulipotoka ni mbali kuliko tunapoelekea, muda simrefu mambo yatajipambanua.CCm wameshindwa kazi ya kutuletea maendeleo

  naomba nawasilisha
   
 12. L

  Luthar JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hongera za juu kwa wale wote wanaoipenda chadema na kwa wale wote wanaoipinga chadema kuna msemo unaosema ukiona mtu ana bishana sana jua yuko karibu na kukubaliana na ukweli kwanamba chadema wako kwenye haki. Lema chapa kazi japo wapo vilaza watakao kupinga hao watakuwa ni jirani zako wana wivu. Tuko pamoja
   
 13. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Chadema run that parliament
   
 14. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,070
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Unadalili zoote za u-kirusi dhaifu kinachotaka kugombanisha watu.
   
 15. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,290
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  mpaka kieleweke!!!


  "THE ONLY ABSOLUTE TRUTH IS THAT THERE ARE NO ABSOLUTE TRUTHS"
   
 16. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #16
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Hotuba zote za Mawaziri vivuli wa sasa ni nzuri....sijui nani au ni vigezo gani vinatumika kusema hii ni nzuri zaidi ya nyingine.Hebu tukue sasa,tuachane na siasa za aina hii.
   
 17. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jamani mbona mnapenda kuwagawa watu?wote wanafanya kazi moja ndani ya chama kimoja.hivi kwa akili yako unaweza kukisifia kiungo kimoja cha mwili wako kuwa ni muhimu kuliko vingine?upuuzi huu.wote ni wabunge wa chadema na wapo kambi ya upinzani.
   
 18. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  CDM ni chama makini chenye viongozi makini.
  CCM ni wazee wenye akili ya kitoto.
   
 19. K

  Kirungu Member

  #19
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sioni kama ni sahihi kusemsa hotuba ya Mh Lema imefunika hotuba zingine za mawazili vivuli, kwani naamini hotuba zote zinalenga kutetea maslahi ya wananchi na kuikosoa serikali, mambo mengine ni technical tu katika kuandaa hotuba na namna ya kuisoma. Tuache ushabiki, vinginevyo hatuna tofauti na CCM.
   
 20. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #20
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  eti anapima hotuba nzuri kwa maandamano yanayofanyika, sasa sijui na mkulo nae atakapopolelewa kwa maandamano atasema nini.
   
Loading...