Gamba halivuliki

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
“Ni heri kupoteza jimbo au kata halafu tukarudi kwenye uchaguzi maana ndiyo njia pakee ya kukisafisha CCM kuliko kuendelea kung’ang’ania wachafu kwenye chama chetu.”
NA “Tukirudi huko bado tutashinda.”

" kama kidole kitakukosesha amani ni bora kukikata ili mwili uwe salama kuliko kukiacha mwisho wa siku ikawa balaa. Hivyo nasi tuko tayari kuwatimulia mbali hao wanaotuhumiwa kwa mambo mbalimbali ili chama kibaki salama.’’


Nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom