Sera ya kimataifa ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sera ya kimataifa ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungi, Aug 1, 2011.

 1. Sungi

  Sungi Senior Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni nini sera ya kimataifa (foreign policy) ya nchi yetu, miaka 18 baada ya kuingia kwenye siasa ya vyama vingi?
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Unauliza swali bila hata kupitia website ya wizara na kujiridhisha kabla hujautawanya mjadala huu kwa sababu tu umekuwa mvivu wa kusoma.
   
 3. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jifunze kuwa mtafiti na ucwe kama mawaziri wa kikwete ambao hutegemea kupewa taarifa tu wakiwa ofisini.changamsha akili yako.
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Uvivu wa watu kutokusoma ndiyo unasababisha watu wakosoe bila solution....kukosoa bila kuwa na mawazo mbadala ni kutkujua malengo ya ukosoaji wenyewe.Hilo ndilo linalotufanya tuendelee kutungiwa sera mbovu tu.Kweli watanzania tunaogopa sana kusoma sijui ni kwa nini hasa
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na hasa humu JF watu wamegauza kijiwe cha kuleta michanyato ambayo haijafanyiwa utafiti kwa nia ya ama kuongeza idadi ya thread au kutekeleza azma ambazo haziko wazi. Kikubwa ni kwamba foreign policy ya nchi huwa haiko static. Hubadilika kutokana na mabadiliko ya masuala mbalimbali ya kimataifa.
   
Loading...