Kwa wana CCM wenzangu: Hebu nisaidieni hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wana CCM wenzangu: Hebu nisaidieni hili!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amaniwakusoma, Aug 2, 2011.

 1. a

  amaniwakusoma Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Najiuliza saana,
  Hivi tulivyokuwa tunaambiwa kuwa chama kina mafisadi tukakataa, sasa hv wanavyoachia ngazi tunajiteteaje?

  Tulivyoambiwa chama hakina dhamira ya kupambana na mafisadi tukakataa leo tunajiteteaje wakat Rostam anapete mitaani, tena rais anawaambia wenzake wasitumie majukwaa kumponda Rostam! Nakoso LOGIC ya suala hili 4sure!

  Hebu nipeni utetezi!
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hayakuhusu, hayo ni mambo ya chama!
  Mijitu mingine bana!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  usijali tunatumia 1bn kuwezesha kusomwa kwa bajeti ya wizara ya nishati!pia tunasubiri pesa zetu za rada toka bae ingawa hatujui ni nani aliyeidhinisha toka serikali yetu pesa zile walipwe bae
   
 4. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  tutafanya maamuzi kwenye kikao kijacho
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Jitahidi uingie NEC atimaye CC utayajua yote.
   
 6. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  haya wameanza utetezi, hii kitu ungeweka facebook wangekuja watoto wa zao la mafisadi lakini hapa
  sijui magamba wa hapa ni waoga sana kuongea hahahahahahahahaha
   
 7. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kikwete ametuangusha sana! Vitu vyake vyote anavyofanya ni kinyume kabisa na utawala bora. Jamaa kweli "mswahili" huyu, ameendesha nchi kienjeji sana.. Bado watu wanamwangalia tu. Watz waoga sana. Nchi haiwezi kuendeshwa kihivi jamani. Yaani watu wanaiba benki kuu wanaambiwa warudishe, hakuna kesi. Makampuni yanaiba ma5, yanashtakiwa 3, ma2 yanaachwa, hakuna kesi. Watu wanashutumiwa kuiba, wanalazimishwa kujiuzulu kwa ufisadi, wanajiuzulu then rais anasema waachwe wasiguswe. Wtz hatutosahau awamu hii
   
Loading...