Tanzania na wingi wa Maonyesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na wingi wa Maonyesho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwaJ, Aug 2, 2011.

 1. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huwa najiuliza hivi serikali yetu inafikiria nini kuhusu huu mfululizo wa maonyesho (maonesho) mbalimbali ambayo yote yanahusu taasisi na idara za serikali. Maonyesho hayo ni kama ya Sabasaba (mwezi July kila mwaka); Nanenane (mwezi August kila mwaka); wiki ya utumishi wa umma na sasa miaka 50 ya uhuru ambayo maandalizi yake yanagharimu pesa nyingi. Kwa upande wangu naona kuna watumishi ambao wanatumia muda mwingi kwenye maonesho badala ya kufanya kazi za uzalishaji/kutoa huduma. Wanajamii naomba tulijadili hili.
   
Loading...