Wosia wa Mwalimu kwa watanzania huu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wosia wa Mwalimu kwa watanzania huu hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Aug 2, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nikikumbuka hii kauli ya Mwalimu Nyerere isemayo ‘Mimi nang’atuka lakini naendelea kuamini kuwa bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba’.

  Wosia wa Mwalimu Agosti 1990 Diamond Jubilee

  My take : Kwa wosia huu, Mwalimu aliisha walaani na kuwahukumu wapinzani kuwa katu nchi hii haiwezi kuchukuliwa na wapinzani.
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145

  My Take: Umetupa hiyo habari huku hujui tafsiri yake, Hapo umeona pametajwa CDM,CUF,NCCR,TLP nk??? Wewe ni CCM kweli au ndio nyie vilaza wa vibaraka wa hao mafisadi,

  Mwl. Nyerere alisha ona viongozi wa CCM walisha potoka na kuwa na mwelekeo sio mbovu kupindukia walipo pinga tu Azimio la Arusha na badala ya kuomba marekebisho wao wakaja na azimio lao na ndio hii Laana ya Mwl. inawakumba hao Viongozi wa CCM walio kaidi na itawapeleka kubaya sana. Bila CCM Madhubuti nchi itayumba bila kuwa na viongozi waadilifu makini na wazalendo nchi itayumba hapo wewe huja pata jibu kweli au unajaribu pindisha ukweli uwe uongo?
  Me ni CCM wa damu ila sitosimama kutetea ujinga UFISADI WA HAWA VIONGOZI WALIPO MADARAKANI AKIJA JK NAMCHANACHANA PIA. na ndio maana tulifanya maamuzi makini mwanza mnji Nyamagana /Ilemela /Ukerewe/Arusha/Hai/Moshi mjn/ Kigoma na kwingineko na ndivyo itakavyo kuwa 2015 kama hao wa magamba hawato toka pia itakuwa ndio hivyo imefika wakati tumechoshwa na sera za wanamtandao ni fake since inthe beginning Mwl.Nyerere alisha wasema hao hawawezi na ndio yametimia wamekuwa ni viongozi wa porojo na uongo sera fake
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Usibishe na wosia wa mwalimu aliisha wahukumu nyie na ww katu huwezi kuwa mwana CCM usitake kupotosha watu humu JF. Labda useme wewe ni bubusa wa wapinzani ntakuelewa
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  huo ni upuuzi wenu wana magamba,eti usibishe na wosia wa mwalimu,...trust me mwalimu alikua binadamu wa kawaida kama wewe_ambaye alikua anaongea kile anacho kiamini yeye na sio lazima na wewe ukiamini,...watu wasibishe kwa nini,..acha kuleta hoja za maji taka hapa jamvini
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wewe ndio kilaza kweli kweli!! Kumbe alitamka haya mwaka 1990! Vyama vya upinzani viliruhusiwa lini Tanzania? Huoni kuwa alimaanisha kuwa CCM ikiwa lege lege (kama ilivyo sasa), itazaa serekali legelege (kama ilivyop sasa na kama hata mwanasheria mkuu wa Serekali alivyokiri wakati akichangia hotuma ya Waziri wa Mambo ya Ndani) na hivyo unabii wa mwalimu umetimia?

  Kauli hiyo ya mwalimu angeisema leo (kwenye mazingira ya vyama vingi) angesema... 'Mimi nang'atuka lakini naendelea kuamini kuwa bila Chama madhubuti kama CHADEMA nchi yetu itayumba'.....

  Wasallaam!


   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Wewe hivi vitu unavisikia tu kwa watu, mwaka 1990 vyama vingi vilikuwa bado, kwa kumbukumbu zangu hayo yasisemwa wakati wa uchaguzi ndani ya ccm

  <br />
  <br />
   
 7. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nyerere pia aliwahi sema ccm si mama yake, alimshangaa sana hayati kawawa akisema kuwa atakuwa mwanacha wa maisha wa ccm
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Akili ya kwako huwezi kulinganisha hata kidogo na ya mwalimu, alikuwa na upeo wa ajabu na ukibisha juu ya hili ujue una wazimu . Na kwa hayo uliyoyaeleza hapo juu yaonyesha hata 0.00001% ya akili ya mwalimu hujafikia
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yaani kweli ww ndio bubusa, aliyasema hayo ili hali akijua hicho kitu kinakuja cha vyama vingi akaamua kuvihukumu na kuvipa laana mapemaaa. Na hii ina maana kuanzia viongozi + wanachama+wapenzi
   
 10. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #10
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nyerere ni Mungu?
   
 11. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Msisahau "Wosia wa Mwalimu" kuhusu ubora wa Katiba ya CDM!
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Alimshangaa ila alikufa akiwa ni mwanachama mwaminifu wa CCM, hujiulizi hapo ?
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  GeniusBrain,
  Kama wewe ni genius kweli kumbuka kuwa Mwalimu vile vile aliweka caveat: kama CCM itashindwa kutoa uongozi bora Watanzania watautafuta kwingineko. Hicho ndicho kinachotokea sasa.
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wewe hujiulizi mpaka mchakato wa kumfanya awe mtakatifu ni bure?
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sio laana ? unakumbuka hata wana wa Israel waliletewa mitume wengi, walipo waasi Mungu akawalani na kutapa tapa , huoni ndicho kinacho tokea sasa ?
   
 16. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mungu hajawatupa kabisa Waisraeli, ndio maana juhudi za Waarabu za kuwaangamiza Waisraeli zimegonga mwamba kila wakati na wamekuwa frustrated!
   
 17. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hii CCM ya kuwalamba miguu mafisadi sidhani kama Nyerere angeendelea kuwa mwanachama, angeshajitoa muda si mrefu!
   
 18. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huoni taabu wana wa israel wanazopata? hawaishi kwa amani na raha na wamezungukwa na maadui kila pande. Hizo ndizo laana za Mungu
   
 19. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ww mbona hujajitoa ? acha kuwadanganya wenzako
   
 20. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo Waarabu ambao hawajazungukwa na maadui wanaishi kwa amani?
   
Loading...