Kama Sheria ya wananchi kumwajibisha mbunge wao ingetumika Tanzania, mbunge angepona?

Da Pretty

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
3,059
1,148
Mbunge anawajibika kwa
wapiga kura wake,
chama chake,
nchi yake..
Je,kwa hali ya bunge sasa,kama ingekuepo sheria ya wapiga kura kumwajibisha mbunge wao hadi sasa nani angekua amewajibishwa na nani angebaki kua chaguo sahihi la wapiga kura wake?
 
Back
Top Bottom