Nanyaro ateuliwa kuongoza CHADEMA Arusha mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nanyaro ateuliwa kuongoza CHADEMA Arusha mjini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Aug 1, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndugu wanaJf
  Habari za uhakika kutoka kwenye baraza la uongozi la chadema mkoa,lililokaa kwa siku mbili mfululizo,kujadili hali halisi ya kisiasa Arusha mjini,limegundua makosa mengi ya kiuongozi ngazi ya wilaya,na mara baada ya majadiliano kamati tendaji yote ya wilaya ikaamua kujiuzulu kwa hiari, ili kupisha viongozi wapya.

  Hivyo Nanyaro ambaye ni diwani wa Levolosi na mmoja wa vijana wenye ushawishi mkubwa wa siasa za upinzani Arusha mjini, kuteuliwa kuongoza task force ya wilaya,yenye lengo la kuimarisha chama, na kuratibu zoezi la uchaguzi wa wilaya.

  Hata hivyo mwenyekiti wa mkoa amesisitiza kuwa CHADEMA ni imara,na Nanyaro ameteuliwa kwa kuwa ni mmoja wa viongozi wanaokijua chama Arusha kwa undani,na mwenye rekodi nzuri ndani ya chama
   
 2. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Tunamtakia Nanyaro afya njema, aweze kulisongesha gurudumu vema..!
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Welldone nanyaro keep it up!
   
 4. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  All the best Nanyaro.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hivi utaratibu ukoje ndg zangu? kikao kilichokaa jana kilikuwa cha kamati tendaji ya mkoa, imekuwaje ikajadili suala la wilaya ya arusha peke yake? vipi kuhusu wilaya zingine?
  Hata hivyo napongeza zoezi hilo kutokana na kwamba kulikuwa hakuna mawasiliano mazuri ya chama kutoka wilaya kwenda mkoani, na kutoka wilaya kwenda kata. hongereni sana
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  If not broken don't fix it
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,839
  Likes Received: 11,958
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kula asali fuata nyuki hongera Nanyaro hayo ni matunda ya uaminifu.
   
 8. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hivi cdm huwa hawana matawi? mbonasijasikia wakifanya chaguzi!!
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kamanda Nanyaro nakutakia utendaji kazi mzuri!
   
 10. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Viva Nanyaro,msimamo wako uwe palepale,Tuko nyuma yako.
   
 11. m

  mohermes Senior Member

  #11
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ​Mh. Nanyaro nakuheshimu sana na nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya kwa ajili ya chama.Na kitu kingine kinachonifurahisha ni kutokujiona we bora na mifano ni jinsi we na madiwani wengine wachache mlipoomba radhi kama mlivyotakiwa na uongozi wa taifa bila kinyongo.Pia ni kwa jinsi unavyojitokeza humu jamvini kujibu maswali unayokuwa umeulizwa aidha shutuma na mambo mengine ya chama kwa wakati.Pia jinsi ulivyo na ushirikiano mzuri na wenzako hadi kupewa nafasi hizo nyeti mkoani na wilayani.Nakuombea kwa Mungu akuzidishie.
   
 12. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Afanye kazi na kuondoa migogoro,tumechoka kelele jamani na kupewa jina la kuwa cdm ni wazee wa fujo.hongera.
   
 13. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #13
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Nawashukuru sana kwa pongezi zenu za dhati,natambua matarajio makubwa ya umma unaotamani migogoro ya chadema iishe,kimsingi kikao cha siku mbili kilikuwa cha baraza la mashauriano ya mkoa,kilizungumzia wilaya zote,na hali ya kisiasa kwenye wilaya zote za mkoa wa Arusha zinaendelea kutekeleza maazimio ya chama kama tulivyokubaliana kwenye baraza la 1april,kwa Arusha mjini baraza likagundua matatizo mbalimbali ya kiuongozi,ndipo kamati tendaji ikaridhia kujiuzulu ili kupisha uchaguzi wa watu watakaoweza kukiimarisha chama zaidi,hasa ikizingatiwa hali ya Arusha mjini ilivyo
  Nashukuru kuwa viongozi wenzangu wamenipa heshima hii kubwa ya kuendeleza pale wenzangu walipofika.
  Ni kweli chadema tuna misingi,matawi,na kata,hivyo moja ya majukumu yangu makuu ni kuhakikisha chama kinakuwa imara kuanzia ngazi ya chini kabisa,yaani msingi,hii ni pamoja na kuelekea kwenye uchaguzi wa wilaya
  Mapambano yanaendelea
   
 14. N

  Ngoks Member

  #14
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HONGERA Ubarikiwe mwanangu, sisi wazee hatupendi migogoro, hasa hasa kwenye chama mbadala Chadema. Dumisha amani na mshikamano. PEOPLE'S POWER!
   
 15. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Safi sana
   
 16. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hongera kamanda...
   
 17. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hongera Nanyaro

  Binafisi nilikuamini toka siku mlipobaki madiwani watatu wa CDM Arusha mliogoma kurubuniwa kwa siasa uchwara, uwe na moyo mkuu weka maslahi ya chama mbele ondoa moyo wa tamaa kama mwenzako Malah aliyegeuka na kuwa Yuda Iskariote kwa kuuza utu kwa vipande 30 vya pesa, pesa kitu gani bwana kama zipo zipo tu hakuna mtu wa kuzizuia, watu wanaoweka tamaa mbele hasa pesa na madaraka mara nyingi kwenye siasa huwa hawafiki mbali.
   
 18. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mimi nafikiri tungebadilisha lugha, badala ya kusema mapambano. Tusema uhamasishaji na uelimishaji wa wananchi. Mapambano limekaa kimgomomgo/kunji/maandamano. We should find a good name on this.. Ningeshauri tupunguze kutumia nguvu kupita kiasi, jazba na hasira badala yake tuelimishe umma kujua haki zake and maove yanayoendelea ili kufanya uamuzi mzuri wa kuwapata viongozi waadilifu wa nchi hii iliyobarikiwa.
   
 19. D

  Derimto JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nadhani Mungu ameona wanachadema Arusha wanataka kitu ambacho hakijachakachuliwa kwa namna yoyote ile NA HAYO NDIYO MATUNDA YA NIDHAMU YA KWELI NA KUSIKILIZA WANANCHI NA KUTII UONGOZI WA JUU KWA MASILAHI YA TAIFA kaka hongera sana na uendelee kwa uaminifu huo kwa ajili ya masilahi ya Taifa zaidi kuliko matakwa binafsi au chama na kundi la watu wachache
   
 20. wasaimon

  wasaimon R I P

  #20
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera Nanyaro... kaza buti
   
Loading...