Kingunge Ngombale Mwiru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kingunge Ngombale Mwiru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Homer, Aug 2, 2011.

 1. H

  Homer Senior Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu babu si ndiye alibakizwa ikulu kuwa refa wa vingunge wa CCM? Yuko wapi mbona simsikii popote??

  Majibu yote hapa JF yako kiaina tu. IGWE anasema "kafariki longtime kitambo,....namaanisha kisi_hasa hatunae tena ila kimwili na kiroho yupo. "
  Lakini wengine wanasema yamemshinda haya ya dot com ndio maana kajikalia kimya. Ukweli uko wapi???
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  kafariki longtime kitambo,....namaanisha kisi_hasa hatunae tena ila kimwili na kiroho yupo.
   
 3. simeu

  simeu Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora kaamua kukaa kimya, maana kuisemea serikali ya JEY KEY WA UKWELI inahitaji moyo.
   
 4. H

  Homer Senior Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huku Sprigfield mbali - sijasikia hiyo. Huchanganyi na Mzee Kawawa Simba wa Vita (RIP)?
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kingunge anapenda hela lazima atakuwa kundi la rostam tu
   
 6. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mzee asiye na busara aliyebaki akijifia na kukosa busara na hekima kama si mzee wa busara
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Unafaa kuwa mganga wa kienyeji! Mzee kawekwa sawa na wenye fedha chafu.
   
 8. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Alikwepa umande mambo ya dot com mshikaji hayawezi, na ciku zile mgao hapati wenziwe wamemzidi kete
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Anajilia msuba wake kimya kimya.
   
 10. t

  tinginya New Member

  #10
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anasimamima mapato yake pale kituo cha mabasi ubungo.
   
 11. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  kama swala ni kila mtu aseme ! ! Basi wote mpo sawa
   
 12. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Vizee vingine bana. Kwanza yeye dini gani(si kwa ubaguzi). Kwenye mithali kuna sehemu imeandikwa hivi MPUMBAVU ANASEMA MOYONI MWAKE KUWA HAKUNA MUNGU. ndo kizee cha busara hicho?? Ndo mana hata kwenye hii mikiki yote inayoendelea kimeufyata.! KUMCHA MUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA.
   
 13. mpiganiahaki

  mpiganiahaki Senior Member

  #13
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  mzee huyu kazeeka ila anatamaa na pesa kushinda hata kijana mdogo!
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Ina maana huko springfield hamjui kusoma?
   
 15. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  vibabu dizaini ile ukikikuta kwenye torture chamber utalia,vinakuwaga vikatili sana,.nikikiona huwa nasisimka,kama cannibal flani
   
 16. H

  Homer Senior Member

  #16
  Aug 2, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Shida sio kusoma; Mzee Monty Burns anamiliki mitambo ndio maana wengine inabidi tukapunguze mawazo kwa Moe :)
   
Loading...