Ole sendeka aichana vilivyo hotuba ya bajeti ya Magufuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ole sendeka aichana vilivyo hotuba ya bajeti ya Magufuli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Laurence, Aug 1, 2011.

 1. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Haya ameyasema punde wakati alipoomba mwongozo wa mwenyekiti kwa kusema kua Wizara ya Ujenzi imekua na upendeleo kwa kujenga barabara nyingi ambako wanatoka viongozi wa serikali kwa huku barabara inayokwenda Butiama kwa Marehem Mwl Nyerere haipo kabisa,sorce: Tbc1 bungeni live
   
 2. L

  Lusambara Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jioni hii nimemsikia Mh. Ole Sendeka akisema wazi wazi kuwa sasa ni dhahiri Serikali ya CCM iko katika hatua za mwisho za kifo chake. Hilo limetokana na madai kuwa.

  Bajeti ya Ujenzi imejikita maeneo ambayo wanatoka viongozi na watendaji wakuu wa serikali na kuacha maeneno mengine ya nchi. Ametoa mifano mbali mbali kuonyesha jinsi bajeti ilivyobagua ki-uwazi wazi. Ameomba muongozo wa mwenyekiti lakini mwenyekiti amesema atautoa baadae.


  Hali si shwari bajeti ya Ujenzi.
   
 3. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  naona huyo kafunguka, wameanza kutoka kwenye madawa ya usingizi waliyokuwa wanatumia
  kumbe wanajua kinachoendelea lakini kila siku kuunga hoja mia kwa mia
  sasa wana walaumu mawaziri kwa lipi ari wao ndio wanapitisha mishwada hapo bungeni?

  wabunge wa CCM wakae kimya dhambi waliyolifanyia ili taifa ni kubwa sana kamwe mawaziri hawajawi kupitisha bajeti bila msaada wa hawa wabunge wa CCM sasa wanalia nini?
   
 4. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Pia kuna mbunge mwingine kutoka kusini akiilaumu serikali kubagua mikoa ya kusini na ambayo ni masikini sana
   
 5. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kwa nini baadaye anapoza kwanza au anatafuta msaada kutoka nje/remote controlled
   
 6. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ole sendeka ana bifu na magufuli
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ni kweli nilimuona Ole Sendeka akiomba mwongozo kwa mtindo ule ule wa kutoa hotuba. Na alitumia maneno "Serikali ya ccm iko katika hatua zake mwisho....". Inawezekana Ole Sendeka ameamua kuutangazia umma 'tafsiri' sahihi ya nini kilifanyika juzi na jana kwenye kikao cha CC na pengine ameamua kutuandaa (pyschologically) sisi watanzania kwa kifo cha CCM.

  Kwa upande mwingine, Ole Sendeka yeye sio CCM ni CCJ, na mgombea wao ni Mzee Sitta. Sasa inawezekana Sendeka na wenzake wanataka kumuandama Magufuli ili aonekane sio chochote na watanzania na hivyo kuimarisha nafasi ya mgombea wao yaani Sitta?
   
 8. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  hata kama kuna ukweli kwenye hoja yake? bora ungesema alete ushahidi
   
 9. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mimi nilidhani magufuli jembe kumbe gamba tu duh
   
 10. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Freedom is coming soon.
   
 11. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  mkuu umemsoma vizuri mbunge sidhani kama angekuwa na ubavu wa kusema hayo kama serikali hiko alive angevuliwa gamba na kufukuzwa chamani
   
 12. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  imeshazoeleka wabunge wa magamba hawana faida yoyote kwa taifa, wao ni maneno tu yakuwahadaa wapumbavu ilimradi asikike jimboni kwake na yeye ameongea bungeni wakati kwenye kupitisha bajeti ni ndio mzee hapa inamaana yote uliyochangia unahitimisha kwa kauli ya nafuta kauli bibi ki0.25to a.k.a naunga hoja
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa kupeleka barabara Butiama sio upendeleo, wakati kuna mikoa haina kabisa barabara, kama Rukwa?
   
 14. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Napita wakuu!
   
 15. C

  CORLEON Member

  #15
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  anakumbuka shuka wakati asubuhi ndo inafika
   
 16. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbunge wa simanjiro Christopher Ole Sendeka ameiponda bajeti ya wizara ya ujenzi na kusema inakera kwa kuwa imeonesha upendeleo wa wazi wa ujenzi wa barabara za rami katika maeneo wanayotoka viongozi na watendaji wakuu wa serikali. Olesendeka ametolea mfano mkoa wa Kilimanjaro ambao ukubwa wake unakaribiana na wilaya ya simanjiro lakini mkoa huo umepewa takribani kilometa 300 za ujenzi wa barabara za rami kwa kuwa watendaji wengi wa TANROADS wanatoka huko. Kufuatia kasoro hizo Ole sendeka ameomba muongozo kwa mwenyeketi kuhusu hatua gani za kuchukua. Mwenyekiti kasema muongozo huo ni mkubwa kuliko yote iliyowahi kutolewa na hivyo ameahidi kuutolea kauli kesho.
  Source: kutoka bungeni dodoma
   
 17. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  hawawezi kumvua mtu au kumtoa mtu chamani kwasasa maana wanajua tu akitolewa CDM wanachukua jimbo.
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ole Sendeka anataka ajengewe km 5 tuu kwenda Kia kama sikosei wakati kuna mikoa ya kusini rami inapita wilayani tuu
   
 19. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbunge wa simanjiro Christopher Ole Sendeka ameiponda bajeti ya wizara ya ujenzi na kusema inakera kwa kuwa imeonesha upendeleo wa wazi wa ujenzi wa barabara za rami katika maeneo wanayotoka viongozi na watendaji wakuu wa serikali. Olesendeka ametolea mfano mkoa wa Kilimanjaro ambao ukubwa wake unakaribiana na wilaya ya simanjiro lakini mkoa huo umepewa takribani kilometa 300 za ujenzi wa barabara za rami kwa kuwa watendaji wengi wa TANROADS wanatoka huko. Kufuatia kasoro hizo Ole sendeka ameomba muongozo kwa mwenyeketi kuhusu hatua gani za kuchukua. Mwenyekiti kasema muongozo huo ni mkubwa kuliko yote iliyowahi kutolewa na hivyo ameahidi kuutolea kauli kesho.
  Source: kutoka bungeni dodoma
   
 20. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kilimanjaro kuna upinzani halafu wana lami ndefu tu still wanatengewa kilometa 300.kweli chadema noumer!
   
Loading...