Tafakari: Majibu ya Ndugai ndani ya mdahalo! Mh. Tufafanulie tena!

amaniwakusoma

Member
Jul 13, 2011
34
3
Ndugai kaulizwa swali rahisi la mtego:
"HUOGOPI KUKUTWA NA YALIYOMKUTA SITTA?"
Badala ya kujibu swali, anaanza kutaja sifa za Sitta!
Nikajiuliza, nani hajui wadhifu wa Sitta? Kuwa ni spika mstaafu, waziri, mwanachama wa "CCM", n.k!
Nikajiuliza tena. JE, HILO NDILO JIBU ALILOKUWA AKILIHITAJI Prof. Lwaitama? Au kuna mtanzania hajui kilichomnyima Sitta uspika awamu hii? Kama yeye hajui bac akamuulize Sitta mwenyewe atamwambia!

Baada ya siku 2 kama co 1, nikasikia Kilango kasema wazir kadanganya, ghafla nikamkumbuka Lema, nikasema labda nayeye ataambiwa ajieleze kwa barua kama ilivyokuwa kwa Mh. Lema, wapiii...? Kumbe ilikuwa ni "UCHAMA TU" ulitumika kwa "LEMA".

Au naongopa wana "CCM"?
 
Back
Top Bottom