Nimedokezwa kuwa eti jengo la forodhani ambalo ni Jengo la Kihistoria liko hatarini kubomolewa na Mmiliki wa Kilimanjaro apewe eneo hilo apanue hoteli yake na kisha Kempiski wawajengee mahakama ya...
Duh.. vyanzo vyangu mbadala vya habari vinadokeza kuwa yule Mzee aliyezungumza kwenye ITV kwa uchungu mkubwa na kutaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa sana amegongwa na gari na pamoja na...
Kwa walio Dodoma au wenye access na wachangiaji wa mjadala wa Wizara wa Viwanda na Biashara sasa hivi Dodoma naomba niwasilishe yafuatayo:
1: Brela
Kuna tatizo kubwa sana pale Brela. Kufanya...
Ndio, sio siri tena sasa kuwa nchi iko mashaka, ina kwikwi nyemelezi. sitaki kupoteza muda kuelezea matatizo yanayoikumba nchi kwa sasa kwani kila mtanzagiza anaelewa na yanamgusa na kumathiri si...
Ndugu wana JF na Watanzania wenzangu,
Ninaguswa sana na matatizo yanayotukumbuka kwenye nchi yetu,matatizo ambayo ukiyachunguza kwa undani ni kwamba yanasababiswa na mfumo MBOVU WA UTAWALA WA...
Wadau,
Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba kamanda mpambanaji wa CUF na kiongozi wa kutumainiwa wa chama hicho JULIUS MTATIRO amepata ajali mbaya eneo la KILOMETA KUMI kutoka Morogoro...
Maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana, fikra huru haziwezi kuibishana katika hii hoja, Kwa mujibu wa serikali tawala ukianagalia mipango mikakati na sera zote zinathibitisha hili kwa uwazi...
Leo Ngeleja kawapa COPEC leseni ya kutuuzia mafuta.Wameula,nimependa jinsi serikali ilivyoonyesha ukakamavu na ukali.
KUMBE SERIKALI INA AKILI IKIAMUA EEH??
Hali ya Tanzania ni tete, na wasiwasi hatutamaliza huu mwaka kama mabadiliko ya haraka hayatatokea.
Mawaziri wa Kikwete wamekuwa kama hawapo, waziri mkuu amekuwa kama picha ujinga unatendeka...
Tuesday, 09 August 2011 21:16
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi
Mussa Juma, Dodoma
KAULI ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi kwa wabunge wa jiji hilo kuwa...
Naomba kuliza
Waziri wa nishati na madini Mh. W ngeleja yuko wapi? Awezekujibu swali hili?
Je mafuta tatizo ni formula tu au kuna jingine?
Kama ni formula? Kilichopunguzwa ni kodi na tozo...
SAKATA la kuuzwa kwa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limezidi kugonganisha vichwa vya mamlaka mbalimbali, baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kuhamisha mchakato wa uchunguzi huo kutoka...
Wana JF,
Kuna sms inayosambaa kwa sasa ya kuwa serikali imelazimisha kushusha bei ya mafuta kuanzia tarehe 1 August, hivyo wauza mafuta watagoma J3.
Wanashauri wananchi wajaze mafuta ya kutosha...
Kwa mazoea tunadhani kuwa Rais bora ni lazima awe mwanachama wa chama fulani cha siasa, na kwa bahati mbaya katiba yetu ya sasa hairuhusu wagombea huru katika ngazi zote kuanzia Madiwani, Wabunge...
Kuanzia misitu hadi samaki, wanyama, uwindaji, ujenzi, viwanda, umeme, na sasa MAFUTA; Bongo imekuwa ikiendeshwa na matakwa ya LOBBYISTS (hasa katika miaka 10 ya karibuni) na kupelekea wananchi...
Juzi jumamosi nikitoka kibaruani nilimpita mtaa wa Jamhuri kama uanaelekea NBC Mnazi mmoja kuna muuza vitabu mtumba ,kama kawaida nilipause niangalie kama naweza kupata chochote. Hamadi...
Kuna tetesi kua Viongozi waandamizi wa Serikali wanachangia kuhujumu Reli kwa kupeleka Bajeti kubwa kwenye ujenzi wa barabara ili kwao iwe rahisi kwa magari yao kuweza kusafirisha abiria na...