JK tumaini lililorejea....poor Prince Bagenda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK tumaini lililorejea....poor Prince Bagenda!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KYALOSANGI, Aug 9, 2011.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,890
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Juzi jumamosi nikitoka kibaruani nilimpita mtaa wa Jamhuri kama uanaelekea NBC Mnazi mmoja kuna muuza vitabu mtumba ,kama kawaida nilipause niangalie kama naweza kupata chochote. Hamadi nikakumbana na kitabu kimoja kichafu kweli kimeeandikwa JAKAYA KIKWETE TUMAINI JIPYA LILILOREJEA.

  MTUNZI WAKE NI PRINCE BAGENDA, nakumbuka niliona kwenye taarifa ya habari uzinduzi wake mwaka 2006,kutokana na kutokuwa na imani na JK sikutaka kukisoma nilijua siku moja historia itamwumbua Ndugu Prince Bagenda. Kutokana na maono yangu yale juzi niliamua kukinunua na weekend hii nimekisoma.

  Ama kweli lazima ukubali kwamba JK alijiandaa kuwa Rais kwa nguvu, kwa sifa alizooandikwa na mwandishi, na matukio na mchakato yaliyoripotiwa ni dhahiri jamaa alijipanga. Kama na mwandishi aliyaamini yale aliyokuwa naandika (wakati huo au mpaka sasa) Basi nina waswasi na weledi wa uchambuzi wa siasa wa ndugu BAGENDA. Kama alindika kwa kufuta upepo nampa pole.

  Kwa ujumla ni mkwamba kama alivyokuwa Prince Bagenda na wengine wengi walikuwa na matarajio makubwa na Kikwete bila kufanya uchambuzi wa historia yake katika uongozi ,kilichooandikwa humo ni yale matumaini ya kuwa alikuwa CHAGUO LA MUNGU, IMEEANDIKWA WALIOCHANGIA UPATIKANAJI WA KITABU KILE NI ROSTAM AZIZ, MZEE SABODO NA JENERALI ULIMWENGU.

  NINA IMANI KUWA WENGINE IKITOKEA ATAANZA KUANDIKA TOLEA LA PILI LA JK TUMAINI LIOLOREJEA SIJUI KAMA WATACHANGIA TENA!KITABU HICHO NITAKIRUDISHA KWA MUUZAJI .......ANAPATIKANA MTAA WA JAMHURI MWISHONI KABIASA KAMA UNAENDA MNAZI MMOJA NBC.

  KITABU HICHO YAELEKEA KILIKUWA KINAMILIKIWA NA PRIMU KIBANDA ....KWA SBB KIMEANDIKWA KWA MKONO ....TO PRIMU KIBANDA,FROM THE AUTHOR! SASA KAMA KILIIBWA SIJUI ILA MSIMUONEE KIJANA WA WATU PENGINE MMILIKI ALIKITUPA KAMA TAKA KIKAOKOTWA!
   
 2. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mmmh! pole sana ama kweli usilolijua ni km usiku kwa giza
   
 3. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Umenisaidia,

  Nilikuwa nawaza leo na mimi niirushe thread hii. Mimi sina haja na kitabu kile. Nilisoma article zote za kchwa hiki wakati ule wa kampeni. Nakumbuka kuna waliojitokeza kumsakama Prince Bagenda lakini naye alijipanga vizuri akaonekana kawazidi hoja kipindi kile mwaka 2005. Kama alivyowazidi hoja Askofu Kilaini aliposema Kikwete ni chaguo la Mungu kipindi hichohicho.

  Watu kama hawa hudhalilishwa na ile statement isemayo "Time will tell".

  Bagenda kama ni mwanajamvi basi huu ni wakati wake kutetea kauli yake ya TUMAINI LILOREJEA.
   
 4. Nyota Ndogo

  Nyota Ndogo Senior Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  napita kwanza....
   
 5. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama anaweza kujitokeza kutetea upuzi huu. Japo bado yeye ni muumini wa jk lakini hana uwezo wa kukitetea tena kitabu chake
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  it was one of the fatal mistakes...beware of a plastic smiling face. poor him indeed, publisher wake included!!
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,988
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Una hakika na uyasemayo?
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,585
  Likes Received: 4,693
  Trophy Points: 280
  Bangenda ni mganga njaa tu hana lolote mnafiki mkubwa .
   
 9. Ngwada

  Ngwada Member

  #9
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yeah! Wengi tuliona shati tukadhani mtu tukaingia mkenge kama bagenda!
   
 10. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  bagenda yupo yupo tu hata kwao hawamjui vizuri, tulimsaidia sana kuibwaga ccm akiwa nccr alionekana kama mtu wa kutumainia kwenye ukombozi lakini matokeo yakawa ziro tangia aje dar ana miaka kumi , shamba limekanda sana, naye ni kama jk nchi inaunguzwa na wafanyabiashara yeye anachekelea tu , anavizia safari ya USA. Poor Bagenda, Huu uprince kapewa na nani? aende zake uko
   
 11. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kipindi kile ni wengi waliohadaiwa na kikwete, tulidhani tumepata kumbe tumepatwa. Na kusema ukweli mwaka 2005 kikwete alipita kihalali. <br />
  Kuna hali fulani ya baadhi ya watu kukubalika tu kutokana na mvuto wa haiba zao, inaitwa Charismatic ....ndo kilichotukumba wengi mwaka 2005.<br />
  Lakini kumbe puuuuuu...hakustahili hata ujumbe wa nyumba 10.<br />
  Kiongozi gani mwenye madaraka makubwa kama yeye ndani ya karne ya 21 ana wish angekuwa mvua anyeshe ajaze mtera umeme upatikane .<br />
  Anasahau reserve ya makaa ya mawe, zone zenye upepo mkali, gas, geothermal energy sources, uranium, biomass potentials, solar energy tapping potentials etc.
   
 12. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hata mi nilizolewa sana na "upepo ule wa mabadiliko". Hadi anavunja baraza la mawaziri bado nilikuwa namwamini tu ndipo nikaanza kurudiwa na fahamu. Nachoshukuru sikuwahi kupigia kura mafiga matatu
   
 13. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bageeeeeeeeeeeenda.....Salva Rweyemamuuuuuuuuuuuuuuu...nani mwingine vile?waandishi wa aina hii wako wengi sana....njaa hizi !
   
 14. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Ukitaka kuelewa vizuri character ya JK sikiliza mnanda na mdundiko au nenda uswazi ambako watu wanapelekeana matarumbeta kusutana. Kwao raha tupu.
  Na hivi tunavyomsema kwake yy na watu wa aina hiyo wana neno watumialo: 'kutesa kwa zamu'!
   
 15. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  sichangii chochote kwa hili.nacheka kwanza
   
Loading...