Waraka wa siri kwa wana Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waraka wa siri kwa wana Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gugwe, Aug 8, 2011.

 1. Gugwe

  Gugwe Senior Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndio, sio siri tena sasa kuwa nchi iko mashaka, ina kwikwi nyemelezi. sitaki kupoteza muda kuelezea matatizo yanayoikumba nchi kwa sasa kwani kila mtanzagiza anaelewa na yanamgusa na kumathiri si kwa njia moja ama nyingine bali katika kila nyanja ya maisha. Hali hii inachangiwa sana, san tu na sisi wanatanzagiza wenyewe kwani tumendelea kukubali kuwa nyeupe ni nyeusi na nyeusi ni nyeupe kwa miongo kadhaa sasa. LAKINI WAKATI WA MABADILIKO UMEFIKA.

  WANA IGUNGA. kwa muda mrefu mmechangia sana matatizo ya nchi hii, yawe ya kiuchuimi au kisiasa kwa kumruhusu fisadi Rostam Aziz kuchukua nafasi ya uongozi kwa miongo kadhaa, watanzania wamelia na Mungu amesikia kilio chao. "Ameng'atuka". Ni wakati muafaka kwenu kutubu dhambi zenu na kufuta historia chafu ambayo ingeendelea kuwahukumu vizazi na vizazi. Katika uchaguzi ujao tumieni nafasi hii kwa busara, wekeni maslahi ya kichama pembeni na tangulizeni maslahi ya Taifa mbele, CHONDE CHONDE pigieni kura Chama chochote mpendacho lakini si CCM.

  Ni matumaini yetu kuwa hamtatuangusha tena.


  Watanzagiza tunaoangamia kwa makosa yenu mliyoyafanya kwenye vyumba vya kupigia kura miongo kadhaa iliyopita
   
 2. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ufisadi wa Rostam upo wapi? au ni chuki mliyopandikiziwa!
   
 3. s

  sss Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?
  Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi......
   
 4. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ama kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

   
 6. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  SSS nivigezo gani unavyovitumia kujiita wewe Mtanzania kuliko Gungwe?

  Lakini pia lazima ujiulize RA alipata wapi huo utajiri? Umeshawahi kujiuliza ni biashara gani anafanya RA,Mtaji alipata wapi?
  Nimaendeleo gani ambayo sasa yameletwa na RA na hayakuwepo kabla?

  Ushiriki wake ktk kagoda na ufisadi mwingine unamsafisha RA kumfanya awe mpigania maendeleo ya Igunga?je siyo pesa hizo hizo walizo ibiwa wabongo zinarudishwa kidogo kwao kwa mfumo w madawati?

  Umeshawahi jiuliza kuwa hayo ndo maendeleo pekee wanayoyahitaji wadanganyika?

  Fisadi ni fisadi tu ndugu awe mweusi,mweupe ktk ujenzi wa tz mpya hatuaogopa kuitwa wabaguzi kwa kuwaondoa mafisadi tutpambana na mafisadi kila kona kwa faida ya nchi yetu tz.
   
 7. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kagoda, Richmond nk kapandikiziwa au kajipandikiza? Tunataka 40bil za kagoda zirudi nayeye ashitakiwe
   
 8. R

  Radi Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Eeeee bwana hapo umeniacha hoi, hivi na wewe umepwa asilimia ngapi kuandika huu upupu wako hapa???Ngoja ninyamaze kwani nikiendelea naweza kupigwa ban bureeeeeeeeeee.Ila umechemka.
   
 9. M

  Mzee wa Posho Senior Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  Usifanye Kampeni muda bado na usiwasumbue watu wa Igunga!
   
 10. b

  ben genious Senior Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh,mzee we ndo mmOja wa waliolia kule Igunga nini?
   
 11. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  Kanawe uso umekurupuka
   
 12. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  You have said it all mkuu wangu nangojea majibu sahihi toka kwa watetezi wa RA safi sana ,
   
 13. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Inaelekea huko nje unaosha vyombo tu. Umezamia, sasa unashindwa kurudi nyumbani kwani utakosa cha kufanya. Vichwa vya aina yako hata hapa Tanzania havitufai!
   
 14. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?
  Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi...... ]
  Hivi inawezekana kutukana na kumuomba Mungu hapo hapo.Duuh!!!!!Wewe kama ni mtanzania bora usirudi kaa huko huko.Au lia basi kama wenzio walojaa matope vichwani wasiomjua kiongozi wa giza hapa tanzagiza
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Join Date : 2nd August 2011

  Posts : 36
  Rep Power : 0
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Join Date : 27th July 2011

  Posts : 10
  Rep Power : 0
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Join Date : 14th July 2011

  Posts : 81
  Rep Power : 2
   
 18. HITLER

  HITLER JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kama sio fisadi mbona kang'a2ka, angekomaa kama wale mapacha wa2.
   
 19. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Mkuu unampigia mbuzi gitaa. Kama Rostam alipotangaza anajiuzulu watu walizirai na kuzimika unadhani uchaguzi ujao watampigia nani kama sio magamba?
   
 20. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  NDUGU ZANGU WANAJAMII F...NAONA HII SASA NI NGUVU ZA GIZA KAMA SI SIKU ZA MWISHO WA DUNIA. KUNA PANDE MBILI NAONA ZINAKINZANA KWA NGUVU HAPA. EWE ULIYEPO UPANDE WA ROSTAM..NI WEWE ULIMWAMBIA AJIUZULU AU NI YEYE ALIAMUA...NA IWAPO ALIAMUA YEYE NI KWA NINI ALIAMUA HIVYO? NI MWANA CCM NA ALIACHIA AKITOKA CCM.

  HAYA...NA WEWE USEMAYE IGUNGA WASICHAGUE CCM NI MMOJA WA ROSTAM? WAACHE WATU WAAMUE KWANI WANAONA NA WANAJUA KWANI "chema chajiuza..na kibovu chajitembeza" UNA NADI SERA ZA CHAMA GANI HAPA AMBACHO UNATAKA KUKIDHARILILISHA KIONEKANE KINAJIUZA? neno kujiuza ni baya sana naomba mhusika ulifikirie kwa kina. Mfano rahisi ni dada zetu wa usiku eneo la kamanyola sinza kwa Shekhe Kilango almaarufu shekilango.
   
Loading...