Tuwataje Viongozi wakuu wa serikali wanaohujumu Reli

Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
420
Kuna tetesi kua Viongozi waandamizi wa Serikali wanachangia kuhujumu Reli kwa kupeleka Bajeti kubwa kwenye ujenzi wa barabara ili kwao iwe rahisi kwa magari yao kuweza kusafirisha abiria na mizigo kwa bei ya juu,kwa yeyote anaewajua viongozi hawa atujulishe hapahapa Jf:

Source: Wabunge wengi wamelisema hiki pasipo kuwataja hao viongozi.
 
Back
Top Bottom