Tunaweza kupata Rais bora nje ya vyama vya siasa

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Kwa mazoea tunadhani kuwa Rais bora ni lazima awe mwanachama wa chama fulani cha siasa, na kwa bahati mbaya katiba yetu ya sasa hairuhusu wagombea huru katika ngazi zote kuanzia Madiwani, Wabunge hadi Rais. Mimi nina mtizamo tofauti kabisa, ninaamini kwa dhati toka ndani ya moyo wangu kwamba nchi yetu inaweza kupata Rais bora nje ya vyama vya siasa. Pengine ni jambo la kuzingatia katika kuandika katiba mpya, turuhusu wagombea huru. Wakati wa mabadiliko ni sasa, kama si sasa ni sasa hivi.
 
Back
Top Bottom