Babu aliyetaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa kwenye TV agongwa na gari na kufariki... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu aliyetaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa kwenye TV agongwa na gari na kufariki...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 6, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Duh.. vyanzo vyangu mbadala vya habari vinadokeza kuwa yule Mzee aliyezungumza kwenye ITV kwa uchungu mkubwa na kutaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa sana amegongwa na gari na pamoja na jitihada za kumuokoa amefariki dunia usiku huu saa saba. Nimeweza kuzungumza na vyanzo vya karibu vya familia na vimethibitisha habari hii.

  Ajali ilitokea juzi (Alhamisi) maeneo ya Ubungo (sina uhakika) na gari lililohusika na ajali hiyo linadaiwa kukamatwa lakini bado taarifa hizi za gari na dereva wake sijawa na uhakika nazo sana. Ila ni kweli mzee Mahimbo amefariki dunia. Tarehe 30 Julai, mzee huyo alizungumza kwa ukali sana na kuonekana kwa namna fulani "kukashfu" serikali na hasa alipodai kuwa yeye hatokufa hadi CCM ife. Siku mbili baadaye amekutwa na ajali ambayo imechukua maisha yake.

  Nina details nyingine ambazo kwa wakati huu naziweka pembeni kwa makusudi - mwenye uwezo wa kujumlisha anaweza kuhisi.

  UPDATED 1:Mwili wa Marehemu umeondolewa toka hospitali ya Muhimbili na kupelekwa hospitali ya Jeshi la Lugalo ili kufanyiwa uchunguzi. Kwa mujibu wa chanzo changu toka ndani ya ofisi za hospitali hiyo "inavoonekana kuna kamchezo kidogo kwn pale muhimbili hakupatiwa huduma yoyote si drip wala panadol"

  UPDATED 2: Mazishi yanatarajiwa kuwa Jumatatu hii.

  UPDATED 3:
  Inadaiwa kuwa Polisi wamefanikiwa kulipata gari lililohusika na ajali hii japo mmiliki wake hajulikani na dereva hajajitokeza bado (isia zangu ni kuwa - reasonably - litakuwa gari la wizi. Nasubiri kusahihiswa hisia izo.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  amekufa kifo cha kawaida tu
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  yeah.. kingekuwa si cha kawaida tungejua, kama kile cha Salome Mbatia.
   
 4. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamemkolimba huyo.
   
 5. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,297
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  RIP Mahimbo, Kaoneka?
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  RIP Mahimbo atakuanayo huko ahela siku si nyingi..
   
 7. G

  Godwine JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  @mwanakijiji, vp ile taasisi haikushiriki kweli? matani tu mjumbe dunia ina mambo
   
 8. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hoja iko wapi hapo? Kwamba CCM ni wachawi? Mods mnatoa uhuru uliopitiliza kwa kuruhusu imani hasi kama hizi kupenya kwenye hii site. Hili jukwaa limefanyiwa marekebisho lakini hata sioni faida yake. Sasa hii ilete hisia kwamba watu wote waliokufa wiki iliyopita, mwezi uliopita au mwaka uliopita wamerogwa na CCM?
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Tunachogombania ni kikubwa zaidi; kaulizeni Rwanda...
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mbona unaishuku CCM? Ni wewe ndiye uliyesema "amekufa kifo cha kawaida"... well kwanini ulifikiria hivyo hadi ukasema kwani kuna kifo kisicho cha kawaida?
   
 11. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  iliwakwaza vitambi kwanza maende.....baadae
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona. Watakuwa waliona uchuro wakaona ngoja atangulie yeye mbele za haki!
   
 13. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wamehakikisha anakufa kabla ya ccm, but ukweli ccm imekufa kabla ya mzee Mahimbo, R I P kamanda wa ukweli.
   
 14. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmh! R.I.P mzee.
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Yeah....au kama cha Chacha Wangwe!
   
 16. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Na wewe ni kitu gani kilichokupelekea kuripoti hicho kifo hapa? Kuna wazee wangapi wamekufa wiki hii ambao hatuna habari zao?
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  FF alisema humu! Haya nisuteni sasa.

  Mungu ailaze roho yake popote apendapo.
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  kifo chake kinamaanisha CCM ilishakufa kitambo!:rapture:
   
 19. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  CCJ vipi yalikushinda kugombania?
   
 20. F

  FredKavishe Verified User

  #20
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Rip mzee'
   
Loading...